Mafanikio ya JK katika sekta ya miundombinu
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu nchini zikiendelea kushika kasi kwa ajili ya maandalizi ya kumchagua rais wa Serikali ya awamu ya tano, wapo wanaoiponda na wengine kuisifia serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake hivi karibuni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 May
Tunayapimaje mafanikio katika sekta ya elimu?
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
WAMA yajivunia mafanikio katika sekta ya elimu
Mke wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete.
Taasisi ya WAMA Foundation imefanikiwa kupanua fursa za elimu kwa mtoto wa kike kwa mwaka 2014.
Hayo yamesemwa na Mke wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete wakati Akiongea na wenza wa mabalozi kutoka nchi mbalimbali katika ghafla fupi ya kuukaribisha mwaka mpya 2015 iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam,
Mama Salma alisema kuwa baadhi ya mafanikio yaliyofikiwa na Taasisi ya WAMA ni kukamilika...
11 years ago
Michuzi
MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

11 years ago
Habarileo07 Oct
JK aambiwa sekta binafsi imepata mafanikio
SEKTA binafsi hapa nchini inapata mafanikio makubwa kutokana na ushirikiano mzuri kutoka serikalini. Taarifa kutoka Ikulu jana ilisema Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Mizinga Melu alisema hayo wakati akizungumza na Rais Jakaya Kikwete jana jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo15 Feb
Mafanikio tele sekta ya habari Zanzibar
WIZARA Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo imeeleza kuwa katika Sekta ya Habari mafanikio makubwa yamefikiwa katika utekelezaji wa malengo ya kila siku ambayo yamesaidia kukuza sekta hiyo hapa nchini.
5 years ago
Michuzi
SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA
Na Woinde Shizza,ARUSHA
SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.
Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
HDP yakutanisha wadau wa sekta ya utalii katika mkutano wa pili wa kukuza sekta ya ukarimu na utalii
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Shirika la Kimataifa la Ukarimu na Utalii (HDP) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT) wamefanya mkutano wa kukutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo.
Akizungumzia mkutano huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru amesema mashirika hayo yamefanya mkutano huo kwa awamu ya pili kwa ajili ya...
10 years ago
Dewji Blog02 Nov
Je! Kuna mategemeo chanya katika sekta ya utalii katika serikali ya awamu ya tano?
Dr. John Pombe Magufuli, mshindi wa kiti cha Urais Tanzania.
Ni siku chache tu zimepita tangu Jaji Mstaafu Damian Lubuva, mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza mgombea wa kiti cha Urais Dr.John Pombe Magufuli kuwa ndiye mshindi aliyeongoza kwa kura za asilimia 58.46% ya jumla za kura halali katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2015.
Andrea Guzzoni Meneja mkazi wa JovagoTanzania, ametoa pongezi katika kipindi kizima cha shughuli za uchaguzi ambapo Tume ya Uchaguzi na...
10 years ago
Michuzi
Wafanyakazi wa Kujitolea wa Kimarekani kufanya kazi katika sekta ya elimu katika wilaya 31 nchini Tanzania
