Mafuriko yaua nchini India
Watu kadhaa wamepoteza maisha kufuatia basi walilokuwa wakisafiria kuchukuliwa na maji nchini India.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Sep
Mafuriko yaua watu 250 India, Pakistan
Watu zaidi ya 250 wamefariki dunia nchini India, Pakistan na China baada ya kusombwa na maji yaliosababishwa na mvua kubwa katika nchi hizo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9h2OjxKkWfeM0Sfr8raeaw7jFTA0i6ezSyK9pG4aGjtHxW5Kg1TdpDAoHPXd1DAobYJ208pXXH4suxjK6myCK*RrUqk8-rF/AJALI.jpg)
AJALI YA TRENI YAUA 12 NCHINI INDIA
Taswira kutoka katika eneo la ajali hiyo. WATU 12 wamefariki huku 45 wakijeruhiwa baada ya treni mbili za abiria kugongana usiku wa kuamkia leo katika Jimbo la Uttar Pradesh nchini India. Ajali hiyo iliyohusisha treni ya Krishak Express, iliyokuwa ikisafiri kutoka Varanasi kwenda Gorakhpur iliyogongana na treni ya Barauni Express ilitokea karibu na Kituo cha Gorakhpur kilichopo kilomita 270 (maili 167) kutoka Makao Makuu ya...
11 years ago
Habarileo16 Apr
Mafuriko Dar yaua 41
MAFURIKO yaliyotokea Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki yamesababisha vifo vya watu 41.
9 years ago
BBCSwahili29 Aug
Mafuriko yaua 20 Dominica
Waziri mkuu nchini Dominica anasema kuwa watu 20 wanariporitiwa kuaga dunia kwenye mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Erika
11 years ago
Mwananchi24 Apr
Mafuriko yaua Kyela
Watu watatu wamefariki dunia na wengine watatu hawajulikani walipo baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokea katika maeneo mbalimbali wilayani Kyela mkoani Mbeya.
10 years ago
BBCSwahili26 May
Mafuriko yaua 18,Texas Marekani
Mafuriko yamesababisha vifo vya watu 18 Magharibi mwa Marekani na Kaskazini mwa Mexco.
11 years ago
Habarileo16 Apr
Mafuriko Dar es Salaam yaua 41
MAFURIKO yaliyotokea Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki yamesababisha vifo vya watu 41.
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Mafuriko yaua watu 15 DRC
Watu kumi na tano wamekufa katika kijiji cha Kimino huko Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Mafuriko yaua Arusha, yateketeza nyumba
Watu watatu wamefariki dunia huku familia zaidi ya 70 zikikosa mahala pa kuishi baada ya nyumba zao kubomolewa na mafuriko yaliyotokana na mvua za vuli zinazoendelea kunyesha huko wilayani Arumeru, mkoani Arusha.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania