Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YA TRENI YAUA 12 NCHINI INDIA

Taswira kutoka katika eneo la ajali hiyo. WATU 12 wamefariki huku 45 wakijeruhiwa baada ya treni mbili za abiria kugongana usiku wa kuamkia leo katika Jimbo la Uttar Pradesh nchini India. Ajali hiyo iliyohusisha treni ya Krishak Express, iliyokuwa ikisafiri kutoka Varanasi kwenda Gorakhpur iliyogongana na treni ya Barauni Express ilitokea karibu na Kituo cha Gorakhpur kilichopo kilomita 270 (maili 167) kutoka Makao Makuu ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ajali ya basi, treni yaua 12

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulMATUKIO ya ajali za barabarani nchini yameendelea kuteketeza maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa papo hapo katika ajali iliyohusisha basi na treni katika makutano ya reli eneo la Kiberege, wilaya Kilombero mkoani Morogoro.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA BASI NA TRENI YAUA 5 NA KUJERUHI 24 WILAYANI KILOSA

WATU watano wamepoteza maisha huku 24 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria kuligonga treni lililokuwa linatoka Morogoro – Dodoma leo asubuhi katika eneo la Kibaoni, wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa ajali hiyo imetokea leo majira ya saa 1 asubuhi na imetokana na uzembe wa dereva wa basi. Naye Mganga Mfawidhi wa Hospitali...

 

11 years ago

BBCSwahili

20 wauawa katika ajali ya treni India

Maafisa wa huduma za reli nchini India wanasema kuwa takriban watu 20 wanahofiwa kufariki katika ajali ya gari moshi katika jimbo la Uttar Pradesh.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yaua nchini India

Watu kadhaa wamepoteza maisha kufuatia basi walilokuwa wakisafiria kuchukuliwa na maji nchini India.

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA ZAIDI YA 50 NCHINI PAKISTAN

Basi likiwa limeteketea baada ya ajali hiyo. Taswira kutoka ndani ya basi hilo la abiria. Baadhi ya miili katika ajali hiyo ikiwa Hospitali ya…

 

10 years ago

Habarileo

Maiti 4 ajali ya treni hawajatambuliwa

MIILI ya watu wanne kati ya 12 waliokufa papo hapo juzi kwa ajali ya basi la Kampuni ya Super Aljabir baada ya kugongana na gari moshi, mali ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA ), haijatambuliwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Zanzibar, India zatiliana saini mkataba wa uwakala wa utangazaji Utalii wa ZNZ nchini India

01

Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwa ofisi ya uwakala wa Utangazaji Utalii wa Zanzibar Nchini India. (Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar).

                                                 Na Abdulla Ali Maelezo-Zanzibar                                                         

Wizara ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

63 wafariki katika ajali ya treni DRC

Takriban watu 63 wamefariki baada ya treni iliyokuwa imewabeba kupoteza mwelekeo Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

 

10 years ago

GPL

MAAJABU AJALI YA BASI KUGONGA TRENI

Stori: Dustan Shekidele NImaajabu ya Mungu! Nyuma ya tukio la ajali ya basi kugona treni iliyotokea hivi karibuni, yamebainika maajabu ya aina yake baada ya mtoto Alhaji Mdoe aliyekuwa amepakatwa na mama yake kukutwa akiwa hai wakati mama yake akiwa amefariki dunia. Soma zaid hapa====>http://bit.ly/1LMsk2c

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani