Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maiti 4 ajali ya treni hawajatambuliwa

MIILI ya watu wanne kati ya 12 waliokufa papo hapo juzi kwa ajali ya basi la Kampuni ya Super Aljabir baada ya kugongana na gari moshi, mali ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA ), haijatambuliwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maiti ajali ya Moro watambuliwa

Idadi ya maiti zilizotambulika katika ajali ya basi la Aljabir lililogonga treni ya abiria ya Tazara imeongezeka na kufikia nane wakati majeruhi waliolazwa katika Hospitali ya Mtakatifu Francis wakiwa wamebaki 20.

 

10 years ago

Habarileo

Maiti 13 wa ajali ya Tabora watambuliwa

Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Suzan KagandaMAITI za watu 13 kati ya 16 waliokufa katika ajali ya mabasi yaliyogongana juzi mkoani Tabora, zimetambuliwa na ndugu zao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maiti yakaa eneo la ajali saa 21

MWILI wa Idd Shamba aliyefariki dunia kwa ajali ya barabarabi katika Kijiji cha Engaruka wilayani hapa, imekaa barabarani kwa zaidi ya saa 21 ikisubiri polisi na daktari kufika eneo la...

 

10 years ago

Habarileo

Ajali ya basi, treni yaua 12

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulMATUKIO ya ajali za barabarani nchini yameendelea kuteketeza maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa papo hapo katika ajali iliyohusisha basi na treni katika makutano ya reli eneo la Kiberege, wilaya Kilombero mkoani Morogoro.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali Morobest: Wafurika hospitali kutambua maiti

>Wakazi wa Mpwapwa na vitongoji vya Mkoa wa Dodoma, wamefurika katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kutambua maiti waliopoteza maisha katika ajali ya basi la Morobest iliyotokea juzi.

 

10 years ago

Vijimambo

Kibaka auawa akidaiwa kupora maiti wa ajali

Watu wanne wamefariki dunia papo hapo akiwamo mama mjamzito na kichanga baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupinduka eneo la Phantom mjini Kahama mkoani Shinyanga.

Ajali hiyo iliyotokea jana asubuhi, iliambatana na tukio la wananchi kuua mtu mmoja (pichani) wakimtuhumu kuwa kibaka aliyejaribu kuwapora fedha marehemu na majeruhi na ilihusisha basi la Wibonela Express lenye namba za usajili T412 CGN lililokuwa likisafiri kutoka Kahama kwenda jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya mashuhuda wa ajali...

 

10 years ago

Mtanzania

Maiti ajali ya basi wazikwa kaburi moja

NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO

MIILI ya abiria 15 walioteketea kwa moto katika ajali ya basi iliyotokea juzi katika eneo la Ruaha, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, imezikwa katika kaburi moja.
Ilizikwa jana asubuhi katika makaburi ya Msavu Ruaha wilayani humo.
Abiria hao walifariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Nganga walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili T 373 DAH kugongana na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 164 BKG.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, John Henjewele, alisema...

 

11 years ago

BBCSwahili

20 wauawa katika ajali ya treni India

Maafisa wa huduma za reli nchini India wanasema kuwa takriban watu 20 wanahofiwa kufariki katika ajali ya gari moshi katika jimbo la Uttar Pradesh.

 

10 years ago

GPL

TRENI LA MIZIGO LAPATA AJALI DAR

Treni la mizigo baada ya kupata ajali. TRENI la mizigo limepata ajali eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam muda mfupi uliopita na kuangusha mabehewa yaliyokuwa na makontena ya Azam na Mohamed Enterprises. Makontena yaliyokuwa yamebebwa na treni hilo la mizigo. Kikosi cha Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) tayari kimefika eneo la tukio kuimarisha ulinzi wa mali zilizokuwemo katika mabehewa hayo.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani