Maiti ajali ya Moro watambuliwa
Idadi ya maiti zilizotambulika katika ajali ya basi la Aljabir lililogonga treni ya abiria ya Tazara imeongezeka na kufikia nane wakati majeruhi waliolazwa katika Hospitali ya Mtakatifu Francis wakiwa wamebaki 20.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Aug
Maiti 13 wa ajali ya Tabora watambuliwa
MAITI za watu 13 kati ya 16 waliokufa katika ajali ya mabasi yaliyogongana juzi mkoani Tabora, zimetambuliwa na ndugu zao.
10 years ago
Habarileo08 Nov
Maiti 4 ajali ya treni hawajatambuliwa
MIILI ya watu wanne kati ya 12 waliokufa papo hapo juzi kwa ajali ya basi la Kampuni ya Super Aljabir baada ya kugongana na gari moshi, mali ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA ), haijatambuliwa.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Maiti yakaa eneo la ajali saa 21
MWILI wa Idd Shamba aliyefariki dunia kwa ajali ya barabarabi katika Kijiji cha Engaruka wilayani hapa, imekaa barabarani kwa zaidi ya saa 21 ikisubiri polisi na daktari kufika eneo la...
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Ajali Morobest: Wafurika hospitali kutambua maiti
10 years ago
Vijimambo13 Nov
Kibaka auawa akidaiwa kupora maiti wa ajali
![](https://2.bp.blogspot.com/--ME-i2UoflM/VGM-WNBWqcI/AAAAAAAA8qY/k2WRIHmUdks/s640/3.jpg)
Ajali hiyo iliyotokea jana asubuhi, iliambatana na tukio la wananchi kuua mtu mmoja (pichani) wakimtuhumu kuwa kibaka aliyejaribu kuwapora fedha marehemu na majeruhi na ilihusisha basi la Wibonela Express lenye namba za usajili T412 CGN lililokuwa likisafiri kutoka Kahama kwenda jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya mashuhuda wa ajali...
10 years ago
Mtanzania14 Apr
Maiti ajali ya basi wazikwa kaburi moja
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
MIILI ya abiria 15 walioteketea kwa moto katika ajali ya basi iliyotokea juzi katika eneo la Ruaha, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, imezikwa katika kaburi moja.
Ilizikwa jana asubuhi katika makaburi ya Msavu Ruaha wilayani humo.
Abiria hao walifariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Nganga walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili T 373 DAH kugongana na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 164 BKG.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, John Henjewele, alisema...
10 years ago
Michuzi17 Dec
LORI LILILOBEBA MAITI LAPATA AJALI, LAUA WATU 5 NA KUJERUHI WENGINE 36
Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Bw. Ahmed Msangi zilieleza kuwa ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nane mchana katika mteremko wa Kanyegele, Kata ya Ntokela wilayani Rungwe.
Kamanda Msangi alisema lori hilo aina ya Mitsubishi Fuso yenye namba za usajili T143 ACR lilikuwa likitokea Ilemi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
YANGA WAPATA AJALI MIKESE, MORO
10 years ago
Bongo Movies15 May
Ummy wa Mambo Hayo Apata Ajali Moro
MWIGIZAJI mkongwe wa filamu Ummy Mohamed amepata ajali mbaya maeneo ya Mikese Mkoani Morogoro baada ya gari alilokuwa akisafiri nalo la AlSaedy kugongana uso kwa uso na lori lilotaka kulipita basi hilo na kusababisha ajali hiyo mbaya basin a kuharibika sana.
Akiongea na FC kutoka eneo la ajali amesema kuwa basi hilo lilikuwa likitokea Ifakara kuja jijini Dar es Salaam safari ambayo iliishia maeneo ya Mikese baada ya kugongana uso kwa uso na Lori, yeye akimepata maumivu sehemu za mikono na...