Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA WAPATA AJALI MIKESE, MORO

Kikosi cha Yanga SC kimepata ajali baada ya basi lao kutumbukia mtaroni katika eneo la Mikese mkoani Morogoro. Basi hilo limepata ajali likitokea mkoani Morogoro kwenda Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro jana. Taarifa zinasema hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

YANGA YAPATA AJALI MIKESE MKOANI MOROGORO

Image Wachezaji wa Yanga wakiwa na viongozi wao wamenusurika kupata ajali mbaya jana  asubuhi  eneo la Mikese baada ya basi lao kuingia mtaroni walipokuwa wakisafiri kutokea Morogoro kuelekea Dar es salaam.
Taarifa zinasema kwamba hakuna mchezaji au mtu yoyote aliyeumia katika ajali hiyo. Timu ya Yanga jana ilicheza na wakata miwa wa Mtibwa katika dimba la   Jamhuri mjini Morogoro na matokeo kuwa suluhu ya 0-0.

 

10 years ago

Mwananchi

Msafara wa RC Moro wapata ajali, meya na waandishi waumia

Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajabu Rutengwe umepata ajali jana saa 9.30 alasiri eneo la Mizambarauni Darajani barabara kuu ya Dar es Salaam-Morogoro.

 

11 years ago

GPL

MALORI YAGONGANA, YALIPUKA ENEO LA MIKESE MORO

TAARIFA zilizotufikia hivi punde kutoka Morogoro ni kwamba malori mawili yamegongana eneo la Mikese mkoani humo na kulipuka moto ambapo mojawapo ya lori lilikuwa na shehena ya mafuta! Mpaka sasa malori hayo yanaendelea kuteketea kwa moto. Taarifa zaidi na picha za tukio hili vitawajia punde!

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZZ:TUKIO LA AJALI MIKESE HIVI PUNDE.

Chumba cha habari cha Globu ya Jamii hivi punde kimearifiwa na kutumiwa picha za tukio la ajali eneo la Mikese na Mdau Martin Mnyenyelwa,lakini hakutufahamisha kuhusiana na athari ya ajali hiyo akiwa kama shuhuda wa tukio hilo. Kulingana na tukio ya taarifa hii kuwa nyembamba,basi tuvute subira tutajuzana kadiri ya zitakavyokuwa zikiiingia kwenye chumba chetu cha habari

 

11 years ago

Michuzi

ajali mbaya eneo la Mikese, Morogoro, leo Asubuhi

 Ankle habari. Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali  mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund
 Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea  Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA MIKESE ILIYOUA DEREVA WA LORI LA MAFUTA

Lori la mafuta baada ya kuteketea kwa moto kijiji cha Fulwe, wilayani Mikese mkoani Morogoro. Lori la mafuta na semitrela vikiteketea kwa moto baada ya ajali.…

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga wanusurika kifo Mikese

Wachezaji na viongozi wa Yanga SC wamenusurika kifo baada ya basi lao kuacha njia na kutumbukia mtaroni eneo la Mikese majira ya saa 3:30 asubuhi wakati wakitoka Morogoro kuelekea Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani