Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MALORI YAGONGANA, YALIPUKA ENEO LA MIKESE MORO

TAARIFA zilizotufikia hivi punde kutoka Morogoro ni kwamba malori mawili yamegongana eneo la Mikese mkoani humo na kulipuka moto ambapo mojawapo ya lori lilikuwa na shehena ya mafuta! Mpaka sasa malori hayo yanaendelea kuteketea kwa moto. Taarifa zaidi na picha za tukio hili vitawajia punde!

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

YANGA WAPATA AJALI MIKESE, MORO

Kikosi cha Yanga SC kimepata ajali baada ya basi lao kutumbukia mtaroni katika eneo la Mikese mkoani Morogoro. Basi hilo limepata ajali likitokea mkoani Morogoro kwenda Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro jana. Taarifa zinasema hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo. ...

 

11 years ago

GPL

BODABODA YAGONGANA NA GARI, DEREVA AVUNJIKA MGUU MORO

Dereva bodaboda na pikipiki yake baada ya kugongana na gari. Wasamaria wema wakimbeba dereva bodaboda kumpeleka kwenye gari. Gari aina ya…

 

11 years ago

Michuzi

ajali mbaya eneo la Mikese, Morogoro, leo Asubuhi

 Ankle habari. Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali  mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund
 Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea  Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AMTAKA RC MORO KUSIMAMISHA MCHAKATO WA UUZWAJI WA ENEO KILOSA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akizungumza baada ya kuzindua Shule ya Sekondari ya Kata ya Nondwa wilayani Bahi, Dodoma. Muonekano wa Shule ya Sekondari ya Nondwa iliyopo wilayani Bahi mkoani Dodoma ambayo imezinduliwa na Waziri Selemani Jafo.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akikagua madarasa ya shule ya Sekondari Nondwa baada ya kuizindua. WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kusimamisha mchakato wa...

 

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

9 years ago

Habarileo

Mabomu yalipuka Zanzibar

MABOMU mawili yanayosadikiwa kuwa yalitegwa na watu wasiojulikana, yamelipuka yenyewe na kuzua taharuki kubwa katika eneo la Michenzani mjini hapa. Kamanda wa Kikosi cha Operesheni na Mafunzo cha Jeshi la Polisi Zanzibar, Juma Yussuf alithibitisha jana kulipuka kwa mabomu hayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Volkeno yalipuka Chile

Volkeno mmoja huko Chile imelipuka ikitupa makaa ya moto na Jivu. Mlima Villarrica ilianza kulipuka jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Volcano yalipuka Chile

Volcano aina ya Calbuco imelipuka kwa muda mfupi huko Chile ikiwa ni mara ya kwanza ndani ya zaidi ya miaka 40.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani