Volkeno yalipuka Chile
Volkeno mmoja huko Chile imelipuka ikitupa makaa ya moto na Jivu. Mlima Villarrica ilianza kulipuka jana.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Volcano yalipuka Chile
Volcano aina ya Calbuco imelipuka kwa muda mfupi huko Chile ikiwa ni mara ya kwanza ndani ya zaidi ya miaka 40.
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Maelfu wahamisha kutokana na mlipuko wa volkeno-Java
Watu 200 wamehamishwa kutoka makwao kisiwani Java Nchini Indonesia, baada ya milipuko miwili ya volkeno kuutikisa mlima wa Kelud
9 years ago
Habarileo01 Nov
Mabomu yalipuka Zanzibar
MABOMU mawili yanayosadikiwa kuwa yalitegwa na watu wasiojulikana, yamelipuka yenyewe na kuzua taharuki kubwa katika eneo la Michenzani mjini hapa. Kamanda wa Kikosi cha Operesheni na Mafunzo cha Jeshi la Polisi Zanzibar, Juma Yussuf alithibitisha jana kulipuka kwa mabomu hayo.
10 years ago
BBCSwahili13 Nov
Mabomu mawili yalipuka Libya
Mabomu mawili ya kutegwa ndani magari yamelipuliwa , moja karibu na ubalozi wa Misri na jingine karibu na ubalozi wa milki za kiarabu .
10 years ago
BBCSwahili29 Oct
Roketi ya Marekani ya Antares yalipuka
Roketi Antares ya Marekani imelipuka wakati ikiruka kuelekea kituo cha kimataifa cha anga za juu
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMP-nnGcje5up3EJRYC060ERacqUVIKtPdv8*3FVoL0xa6j*lOWIWwB-8MvKz7J3Ozrl9EuoN-7KEAdPyyapsltO/explosion1.jpg?width=650)
ROKETI YALIPUKA WAKATI WA KUPAA NCHINI MAREKANI
Roketi Antares ikilipuka. Taswira baada ya mlipuko huo.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MALORI YAGONGANA, YALIPUKA ENEO LA MIKESE MORO
TAARIFA zilizotufikia hivi punde kutoka Morogoro ni kwamba malori mawili yamegongana eneo la Mikese mkoani humo na kulipuka moto ambapo mojawapo ya lori lilikuwa na shehena ya mafuta! Mpaka sasa malori hayo yanaendelea kuteketea kwa moto. Taarifa zaidi na picha za tukio hili vitawajia punde!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRkBFOu*butT5JQjoKICkFcdDNG5ZEGkhwEYbKcGdaNpY*YAnv3KdfiqO6T6DFaV2*cFlHAaqb7G7iichoQDXqZw/1.jpg)
CHILE YAILAZA AUSTRALIA 3-1
Chile wakishangilia bao lao la pili lililofungwa na Jorge Valdivia dakika ya 14 ya kipindi cha kwanza. Alexis Sanchez (kulia) ambaye pia anaichezea Barcelona, akishangilia bao la kwanza aliloifungia Chile dhidi ya Australia.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania