CHILE YAILAZA AUSTRALIA 3-1
![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRkBFOu*butT5JQjoKICkFcdDNG5ZEGkhwEYbKcGdaNpY*YAnv3KdfiqO6T6DFaV2*cFlHAaqb7G7iichoQDXqZw/1.jpg)
Chile wakishangilia bao lao la pili lililofungwa na Jorge Valdivia dakika ya 14 ya kipindi cha kwanza. Alexis Sanchez (kulia) ambaye pia anaichezea Barcelona, akishangilia bao la kwanza aliloifungia Chile dhidi ya Australia.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Sep
Al Ahly yailaza Zamalek
Al Ahly iliilaza Zamalek na kutwaa Super Cup katika mechi ya kutangulia msimu mpya ya Misri.
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Ecuador yailaza Honduras 2-1
Ecuador ilitoka nyuma na kuishinda Honduras 2-1 katika mechi ya kundi E
11 years ago
BBCSwahili27 Feb
11 years ago
BBCSwahili05 Dec
Everton yailaza Man U 1-0
Everton iliingiza bao la dakika za mwisho na kujipatia ushindi wake wa kwanza wa bao moja bila dhidi ya Manchester United katika miaka 21 ya klabu hiyo
10 years ago
BBCSwahili22 Mar
Arsenal yailaza Newcastle
Arsenal ilihimili kishindo cha Newcastle katika kipindi cha pili ikiendelea na harakati za kuchukua nafasi ya pili katika ligi
11 years ago
BBCSwahili31 Jul
Liverpool yailaza Mancity
Liverpool iliilaza Manchester City katika mechi ya kirafiki iliyochezwa Marekani.
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
DR Congo yailaza Burundi
DR Congo imeandikisha ushindi dhidi ya jirani zao Burundi mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia iliyochezewa mjini Bujumbura, Uganda nayo ikaicharaza Togo.
11 years ago
BBCSwahili18 Jun
Chile kuchuana na Uhispania
Mabingwa watetezi Uhispania wanatafuta ushindi dhidi ya Chile baada ya kushindwa na Uholanzi katika kombe la dunia Brazil.
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Volkeno yalipuka Chile
Volkeno mmoja huko Chile imelipuka ikitupa makaa ya moto na Jivu. Mlima Villarrica ilianza kulipuka jana.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania