Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ecuador yailaza Honduras 2-1

Ecuador ilitoka nyuma na kuishinda Honduras 2-1 katika mechi ya kundi E

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

England yabanwa na Ecuador 2 - 2

Katika mechi za kirafiki England ilitoka sare ya 2 - 2, dhidi ya Ecuador katika mechi iliyochezwa huko Miami.

 

11 years ago

GPL

SWITZERLAND YAIGALAGAZA ECUADOR

Haris Seferovic (kulia akiifungia) Switzerland bao la pili na la ushindi dhidi ya Ecuador. Mchezaji wa Ecuador, Enner Valencia akiifunga bao timu yake katika dakika ya 22.…

 

11 years ago

GPL

UFARANSA YAIKANDAMIZA HONDURAS 3-0

Mshambuliaji wa Ufaransa, Karim Benzema akiifungia Ufaransa bao la kwanza dhidi ya Honduras. Wilson Palacios wa Honduras akipewa kadi nyekundu baada ya kumchezea faulo Paul Pogba.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mrembo na dadake wauawa Honduras

Wanaume 2 wamekamatwa baada ya binti mmoja mshindi wa mashindano ya urembo na dadake kupatikana wakiwa wameuawa karibu wiki moja baada ya kutoweka kwao.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA NA ECUADOR ZA ANZISHA UHUSIANO WA KIDPLOMASIA

 Na Mwandishi Maalum, New York  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Ecuador zimekubaliana kuanzisha uhusiano wa kudiplomasia katika ngazi ya Mabalozi . Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, na Mwakilishi wa Kudumu wa Ecuador katika Umoja wa Mataifa Balozi Xavier Mendoza ndio waliotia sahihi hati za kuanzishwa kwa uhusiano huo kwa niaba ya serikali zao katika hafla fupi iliyofanyika siku ya Jumanne.  Ecuador inakuwa ...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA ECUADOR ZAANZISHA UHUSIANO WA KIDIPLOMASIA


  "  Wawakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi wa Tanzania, na Xavier Mendoza wa Ecuador wakati wa kibadilisha hati za kuanzishwa kwa uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Balozi Tuvako Manongi na Balozi Xavier Mendoza, wakiteta jambo baada ya kusaini kwa niaba ya serikali zao, hati za kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia katika ngazi ya Mabalozi katika hafla fupi iliyofanyia siku ya Jumanne, wanaoshuhudia ni Maafisa Waandamizi, Bi.Tully...

 

10 years ago

BBCSwahili

Baba Mtakatifu Francis awasili Ecuador

Baba mtakatifu Francis amwasilini nchini Ecuador akiweka kituo cha kwanza katika ziara yake itakayodumu kwa siku saba.

 

9 years ago

StarTV

U-17 Mali yaichakaza Honduras, Coratia yapeta.

Michuano ya kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17 hatua ya makundi inayoendelea nchini Chile timu ya Mali imetinga hatua ya 16 na kuongoza kundi D baada ya kuitandika timu ya Korea kaskazini kwa mabao 3-0.

Kipigo hicho kimeipa mkono wa kwaheri wa kutupwa nje ya michuano hiyo, huku Amodou Haidara akiifungia Mali bao la kuongoza , kabla ya nahodha Abdou Dante akiongeza la pili , na kisha Aly Male akiihakikishia ushindi kwa kupachika bao la tatu sasa timu hiyo itakipiga na Coratia...

 

9 years ago

BBC

Mali beat Honduras to progress at U-17s

Mali move into the last 16 of the Fifa Under 17 World Cup in Chile with a 3-0 win over Honduras to go top of group D.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani