Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baba Mtakatifu Francis awasili Ecuador

Baba mtakatifu Francis amwasilini nchini Ecuador akiweka kituo cha kwanza katika ziara yake itakayodumu kwa siku saba.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Baba mtakatifu Francis asisitiza msamaha

Baba Mtakatifu Francis wa kanisa Katoliki ametangaza kwamba atawapa mapadri wote nafasi ya kuwasamehe wanawake walio toa mimba

 

9 years ago

Dewji Blog

Baba Mtakatifu Francis ziarani Marekani

Na Mwandishi wetu Swahilivilla.Blog
Baba Mtakatifu Francis jana aliwasili nchini Marekani kuanza ziara ya kwanza kuwahi kuifanya nchini humo maishani mwake. Pope Francis is scheduled to address Americans on the front lawn of the White House on Wednesday. Pictured above on Tuesday at the airport, being welcomed to the U.S. by President Obama and his family Baba Mtakatifu Papa Francis akiwa katika mapokezi chini ya  Rais Obama na familia yake Kwa kawaida marais wa Marekani huwapokea wageni rasmi Ikulu ya nchi hiyo, lakini alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kijeshi wa Andrews ulioko nje kidogo ya jiji la Washington, Baba Mtakatifu alipata heshima ya kulakiwa na Rais Obama na familia...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS BARACK OBAMA AMUKARIBISHA BABA MTAKATIFU FRANCIS MJENGO MWEUPE, WASHINGTON, DC

Rais Barack Obama akimkaribisha Baba Mtakatifu Papa Francis kwenye ikulu ya Marekani asubuhi ya siku ya Jumatano Septemba 23, 2015. Papa Francis yupo Marekani kwa ziara ya siku 4 na aliwasili siku ya Jumanne Septemba 22, 2015 na kulakiwa na mwenyeji wake Mhe. Barack Obama.Papa Francis akifanya mazungumuzo na mwenyeji wake Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama.Papa Francis na mwenyeji wake Rais Barack Obama akiwa na mkewe Michelle Obama wakiwapuniwa wageni waliokua nje ya kiwanja cha Ikulu...

 

10 years ago

Habarileo

Baba Mtakatifu ajitabiria ukomo

Papa Fransis.AKIWA katika maadhimisho ya kuanza mwaka wa pili wa utume wake katika kuongoza Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francis, ametoa kauli kuashiria kuwa huenda asidumu katika wadhifa huo kwa muda mrefu ujao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Baba Mtakatifu:G20 kumbukeni maskini

Baba Mtakatifu Francis ametoa wito kwa Viongozi wa dunia kuwakumbuka maskini

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa Francis awasili nchini Uganda

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili nchini Uganda kwenye sehemu ya pili ya ziara yake Afrika.

 

9 years ago

Habarileo

Papa Francis awasili Kenya kuanza ziara

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amewasili nchini Kenya jana jioni kuanza ziara ya kihistoria ya siku sita barani Afrika. Akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini hapa, alipokewa na mwenyeji wake, Rais Uhuru Kenyatta aliyefuatana na mkewe Margaret pamoja na Naibu Rais, William Ruto pamoja na viongozi mbalimbali wa Kanisa Katoliki nchini humo.

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ.....: PAPA FRANCIS AWASILI NCHINI KENYA JIONI HII

Papa Francis akisalimiana na Rais wa Kenya, Mh. Uhuru Kenyatta wakayi alipowasili nchini Kenya leo ambapo atakuwa na ziara ya siku sita katika nchi za Afrika. Kushoto ni Mke wa Rais Kenyatta, Magret Kenyatta.

 

9 years ago

Vijimambo

PAPA FRANCIS AWASILI WASHINGTON, DC ALAKIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS BARACK OBAMA

Rais Barack Obama na familia yake wakielekea uwanjani kwenda kumlaki Papa Francis aliyewasili siku ya Jumanne Septemba 22, 2015 nchini Marekani kwa ziara ya siku nne.Papa Francis na ujumbe wake wakishuka kutoka kwenye ndege iliyomleta Washington, DC uwanja wa ndege wa jeshi wa AFB kwa ziara ya siku nne nchini Marekani.Papa Francis akilakiwa na mwenyeji wake Rais Barack Obama mara tu alipokanyaga ardhi ya Marekani.Papa Francis akisalimiana na Michelle Obama mke wa Rais wa Marekani Mhe. Barack...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani