RAIS BARACK OBAMA AMUKARIBISHA BABA MTAKATIFU FRANCIS MJENGO MWEUPE, WASHINGTON, DC
Rais Barack Obama akimkaribisha Baba Mtakatifu Papa Francis kwenye ikulu ya Marekani asubuhi ya siku ya Jumatano Septemba 23, 2015. Papa Francis yupo Marekani kwa ziara ya siku 4 na aliwasili siku ya Jumanne Septemba 22, 2015 na kulakiwa na mwenyeji wake Mhe. Barack Obama.
Papa Francis akifanya mazungumuzo na mwenyeji wake Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama.
Papa Francis na mwenyeji wake Rais Barack Obama akiwa na mkewe Michelle Obama wakiwapuniwa wageni waliokua nje ya kiwanja cha Ikulu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo23 Sep
PAPA FRANCIS AWASILI WASHINGTON, DC ALAKIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS BARACK OBAMA
![](https://cbswashington.files.wordpress.com/2015/09/gettyimages-489574434_master.jpg?w=809)
![](http://assets.nydailynews.com/polopoly_fs/1.2370330!/img/httpImage/image.jpg_gen/derivatives/gallery_1200/pope-francis-arrives-washington.jpg)
![](http://cdn.abclocal.go.com/content/creativecontent/images/cms/996735_1280x720.jpg)
![](http://i2.cdn.turner.com/cnn/dam/assets/150922155844-04-pope-visit-0922-exlarge-tease.jpg)
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Baba Mtakatifu Francis awasili Ecuador
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Baba mtakatifu Francis asisitiza msamaha
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Baba Mtakatifu Francis ziarani Marekani
Baba Mtakatifu Francis jana aliwasili nchini Marekani kuanza ziara ya kwanza kuwahi kuifanya nchini humo maishani mwake.
![Pope Francis is scheduled to address Americans on the front lawn of the White House on Wednesday. Pictured above on Tuesday at the airport, being welcomed to the U.S. by President Obama and his family](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/09/23/12/6bkkGplZt-HSK1-3245930-Pope_Francis_is_scheduled_to_address_Americans_on_the_front_lawn-a-46_1443009057847.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Cassim Mganga, Aunty Ezekiel watembelea mjengo mweupe, Aunty asaini kitabu ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, Dc
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
Aunty Ezekiel akipata picha nje ya mjengo wa Obama.
Shabiki akipata picha...
10 years ago
MichuziCASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL WATEMBELEA MJENGO MWEUPE, AUNTY ATIA SAINII KITABU UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI, WASHINGTON, DC
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/HgrE5awSMWk/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Rais Barack Obama aizungumzia Iraq
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-nHT-52rc8Kk/VRVhtpwIpcI/AAAAAAAAAJo/jN0QEDLGK0Q/s72-c/Dullah%2BMsangi.jpg)
RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI ZIARANI JIMBO LA ALABAMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-nHT-52rc8Kk/VRVhtpwIpcI/AAAAAAAAAJo/jN0QEDLGK0Q/s1600/Dullah%2BMsangi.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-yuHusFufVYY/VRVhvL9PpHI/AAAAAAAAAJw/iGHlSEOE0S8/s1600/Invitation%2Bcard.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-FFuX_VrEpE4/VRVhwpkAu0I/AAAAAAAAAJ4/QQM1rBzdxt4/s1600/Air%2Bforce%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TIGNavoj85s/VRVh3Owyq4I/AAAAAAAAAKI/vZY48oZ7HZk/s1600/Air%2Bforce%2B1%2Bwith%2Belectronic%2Bcountermeasures.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-BBAvq6a7HhA/VRVpKPOahUI/AAAAAAAAAKk/mRJNx8n90Pw/s1600/Obama%2Bna%2BGovernor.jpg)