Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


England yabanwa na Ecuador 2 - 2

Katika mechi za kirafiki England ilitoka sare ya 2 - 2, dhidi ya Ecuador katika mechi iliyochezwa huko Miami.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Africanjam.Com

SUPPORTERS NAME ENGLAND CAPTAIN WAYNE ROONEY ENGLAND PLAYER OF THE YEAR

Wayne Rooney has been named England Player of the Year for 2015, retaining the title he won in 2014.The Manchester United forward earned 37% of the votes cast by members of the England Supporters Club and has now won it four times.England captain Rooney, 30, scored five goals last year, overtaking Sir Bobby Charlton as England's record goalscorer during Euro 2016 qualification.Stoke City goalkeeper Jack Butland was voted Under-21 Player of the Year.In the vote for the senior player of the...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ecuador yailaza Honduras 2-1

Ecuador ilitoka nyuma na kuishinda Honduras 2-1 katika mechi ya kundi E

 

11 years ago

GPL

SWITZERLAND YAIGALAGAZA ECUADOR

Haris Seferovic (kulia akiifungia) Switzerland bao la pili na la ushindi dhidi ya Ecuador. Mchezaji wa Ecuador, Enner Valencia akiifunga bao timu yake katika dakika ya 22.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Baba Mtakatifu Francis awasili Ecuador

Baba mtakatifu Francis amwasilini nchini Ecuador akiweka kituo cha kwanza katika ziara yake itakayodumu kwa siku saba.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA NA ECUADOR ZA ANZISHA UHUSIANO WA KIDPLOMASIA

 Na Mwandishi Maalum, New York  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Ecuador zimekubaliana kuanzisha uhusiano wa kudiplomasia katika ngazi ya Mabalozi . Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, na Mwakilishi wa Kudumu wa Ecuador katika Umoja wa Mataifa Balozi Xavier Mendoza ndio waliotia sahihi hati za kuanzishwa kwa uhusiano huo kwa niaba ya serikali zao katika hafla fupi iliyofanyika siku ya Jumanne.  Ecuador inakuwa ...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA ECUADOR ZAANZISHA UHUSIANO WA KIDIPLOMASIA


  "  Wawakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi wa Tanzania, na Xavier Mendoza wa Ecuador wakati wa kibadilisha hati za kuanzishwa kwa uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Balozi Tuvako Manongi na Balozi Xavier Mendoza, wakiteta jambo baada ya kusaini kwa niaba ya serikali zao, hati za kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia katika ngazi ya Mabalozi katika hafla fupi iliyofanyia siku ya Jumanne, wanaoshuhudia ni Maafisa Waandamizi, Bi.Tully...

 

5 years ago

Michuzi

POLISI ECUADOR YAKUSANYA MIILI 800 MAJUMBANI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
ECUADOR imesema kuwa polisi wameondoa karibu miili 800 katika wiki za hivi karibuni kutoka  majumbani huko Guayaquil ambako ni kitovu cha mlipuko wa virusi vya Corona (Covid -19) na hiyo ni baada ya ugonjwa huo kuzidi huduma za dharura, hospitali na huduma za mazishi, Shirika la utangazaji la Al-jazeera limeripoti.
Kiongozi wa timu iliyoundwa na serikali ya nchi ili kusaidia katika mapambano dhidi ya Covid -19  yenye polisi na wanajeshi, Jorge Wated amesema kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

MIILI YA WAATHIRIKA WA CORONA YAZIDI KUTAPAKAA MITAANI ECUADOR


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
NCHINI Ecuador miili ya waathirika wa virusi vya Corona imeendelea kuzagaa mitaani huku tahadhari zaidi ikitolewa dhidi kuenea kwa virusi hivyo.
Baadhi ya wachunguzi  wameonekana katika moja ya mitaa wakichunguza maiti ya mwanaume wa miaka 65 aliyedaiwa kuambukizwa COVID-19 katika mji mkuu wa nchi hiyo Quito siku ya Jumanne na baadaye wafanyakazi wa wazishi walifika na kumweka kwenye jeneza na kumsafirisha, Dailymail imeripoti.
Ecuador ina zaidi ya kesi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali ya Ecuador inavyopambana kuzika waliofariki

Miili imetapakaa Guayaquil nchini Ecuador, serikali yazidiwa na idadi kubwa ya vifo, mji huo umeathirika zaidi Amerika ya Kusini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani