MIILI YA WAATHIRIKA WA CORONA YAZIDI KUTAPAKAA MITAANI ECUADOR
![](https://1.bp.blogspot.com/-Fdf8bs7s6l0/XrRbo0NbN4I/AAAAAAALpbo/XsUFzwPRF4kzB5QlTLd0sgDuyDcn327GwCLcBGAsYHQ/s72-c/28065876-0-image-a-16_1588759550692.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
NCHINI Ecuador miili ya waathirika wa virusi vya Corona imeendelea kuzagaa mitaani huku tahadhari zaidi ikitolewa dhidi kuenea kwa virusi hivyo.
Baadhi ya wachunguzi wameonekana katika moja ya mitaa wakichunguza maiti ya mwanaume wa miaka 65 aliyedaiwa kuambukizwa COVID-19 katika mji mkuu wa nchi hiyo Quito siku ya Jumanne na baadaye wafanyakazi wa wazishi walifika na kumweka kwenye jeneza na kumsafirisha, Dailymail imeripoti.
Ecuador ina zaidi ya kesi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k55MAPEnUd4/XpR4BCfFCmI/AAAAAAALm2s/5c3AXl3CjSolO2XooFt7tLQ-u_6hN7ODACLcBGAsYHQ/s72-c/76514_ECU200412ECUADORRTR_1586763597160.jpeg)
POLISI ECUADOR YAKUSANYA MIILI 800 MAJUMBANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-k55MAPEnUd4/XpR4BCfFCmI/AAAAAAALm2s/5c3AXl3CjSolO2XooFt7tLQ-u_6hN7ODACLcBGAsYHQ/s640/76514_ECU200412ECUADORRTR_1586763597160.jpeg)
ECUADOR imesema kuwa polisi wameondoa karibu miili 800 katika wiki za hivi karibuni kutoka majumbani huko Guayaquil ambako ni kitovu cha mlipuko wa virusi vya Corona (Covid -19) na hiyo ni baada ya ugonjwa huo kuzidi huduma za dharura, hospitali na huduma za mazishi, Shirika la utangazaji la Al-jazeera limeripoti.
Kiongozi wa timu iliyoundwa na serikali ya nchi ili kusaidia katika mapambano dhidi ya Covid -19 yenye polisi na wanajeshi, Jorge Wated amesema kuwa...
5 years ago
BBCSwahili14 Apr
Virusi vya corona: Serikali ya Ecuador inavyopambana kuzika waliofariki
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Virusi vya corona Ecuador: Wakati familia zinatafuta wapendwa wao mwanamke apatikana akiwa hai
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Virusi vya corona: Je unaweza kuambukizwa Covid-19 kutoka kwa miili ya wafu ?
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Virusi vya corona: "Coronadamas", wanawake wanaoosha miili ya waliokufa na covid-19 Iran
5 years ago
BBCSwahili07 Apr
Mtaa wa Chicago waathirika pakubwa na virusi vya corona Marekani
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FFMTLtFRsvg/Xl1oCvQ5CBI/AAAAAAALgek/ENCl2BZvqX0iasmUN5-Oq3hpGZJkGMKogCLcBGAsYHQ/s72-c/4bv6fba7fc89ba1lyf6_800C450.jpg)
Waathirika 291 wa virusi vya Corona wapona nchini Iran
![](https://1.bp.blogspot.com/-FFMTLtFRsvg/Xl1oCvQ5CBI/AAAAAAALgek/ENCl2BZvqX0iasmUN5-Oq3hpGZJkGMKogCLcBGAsYHQ/s640/4bv6fba7fc89ba1lyf6_800C450.jpg)
Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari nchini Iran imetangaza kwamba hadi sasa watu 291 waliokuwa wameathirika na virusi vya Corona wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.
Alireza Raeesi, Naibu Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari nchini Iran ameyasema hayo leo akiongea na waandishi wa habari. Ameashiria kuwa watu 1,501 waathiriwa wa virusi vya Corona nchini Iran na kusema kwa bahati mbaya hadi sasa watu 66 wamefariki dunia kutokana na virusi hivyo.
Virusi vya Corona viliibuka...
5 years ago
CCM Blog15 Feb
MADAKTARI NA MANESI 1700 NCHINI CHINA WAATHIRIKA NA VIRUSI CORONA
![Zaidi ya madaktari na manesi 1700 nchini China wameathirika na virusi vya Corona](https://media.parstoday.com/image/4bv6a9908d330d1lkri_800C450.jpg)
5 years ago
BBCSwahili20 May
Idadi ya watu waliopatwa ca corona yazidi 1000 Kenya