Virusi vya corona: Je unaweza kuambukizwa Covid-19 kutoka kwa miili ya wafu ?
Miili ya wahanga wa Covid-19 inaweza bado kutunza virusi hai, lakini inawezekana kuwapa mazishi ya heshima au kuwazika iwapo tahadhari za kutosha zitachukuliwa?
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Virusi vya corona: "Coronadamas", wanawake wanaoosha miili ya waliokufa na covid-19 Iran
Watu waliojitolea kuosha maiti maarufu kama "coronadamas" wanaendesha kazi yao katika mji wa Iran wa Qom ili kutimiza moja ya tamaduni za tangu jadi ya dini ya Kiislamu ya kumuosha maiti kabla ya kuzikwa.
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya corona: Hospitali ya India iliyoweza kuzalisha watoto 100 kutoka kwa wanawake wenye Covid-19
Timu ya madaktari 65 na wauguzi 24 imewatibu wanawake walioambukizwa virusi vya corona nchini India.
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya Corona: Rais wa Sierra Leone kujitenga baada ya mlinzi kuambukizwa virusi
Sierra Leone mpaka sasa ina wagonjwa 43 wa virusi vya corona.
5 years ago
BBCSwahili29 May
Virusi vya corona: Watu 127 Wathibitishwa kuambukizwa corona Kenya
Idadi ya maambukizi ya corona Kenya yazidi kuongezeka kila uchao
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona: Hatari ya kuambukizwa corona Dar es Salaam ipo juu yasema Marekani
Hatari ya kupata maambukizi ya Corona jijini Dar es Salaam ni kubwa sana. Licha ya kwamba taarifa hazitolewi mara kwa mara, ubalozi wa Marekani Tanzania waeleza.
5 years ago
BBCSwahili27 May
Virusi vya corona: Ni kwa namna gani unaweza kuvaa barakoa yako?
Taratibu za kufuata wakati wa kuvaa barakoa kujikinga na virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Virusi vya Corona: Mfahamu mwanamke aliyebaini virusi vya corona kabla ya Covid-19
June Almeida alikuwa bingwa wa ugunduzi wa virusi, lakini alikuwa amesahaulika mpaka mlipuko wa corona ulipoibuka ndio akakumbukwa.
5 years ago
BBCSwahili08 May
Virusi vya corona: Wachezadensi wanaosindikiza wafu waliopenda mtandaoni
Mwaka 2017 kikundi hiki cha wachezajidensi cha Ghana wanaosindikiza wafu walipata umaarufu baada ya BBC kufanya taarifa yao, wamevuma tena wakati huu wa Covid-19.
5 years ago
BBCSwahili05 May
Virusi vya corona: Daktari Jaz Seehra ahofia kuambukizwa
Daktari anaeshughulikia wagonjwa wa corona amesema anatarajia kupata virusi hivyo licha ya kuwa na vifaa vya kujikinga
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania