UFARANSA YAIKANDAMIZA HONDURAS 3-0
![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm94Ho-wIRZs4bHuq9kbbP1HfWUAJiemESXwIQoQwc9-33n8DrOPp8HkEy1WbqExwRullWrBrm1ClrQS58KK5DfR/benzema.jpg)
Mshambuliaji wa Ufaransa, Karim Benzema akiifungia Ufaransa bao la kwanza dhidi ya Honduras. Wilson Palacios wa Honduras akipewa kadi nyekundu baada ya kumchezea faulo Paul Pogba.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBURUNDI YAIKANDAMIZA STARS 3-0
11 years ago
GPLYANGA YAIKANDAMIZA KAGERA SUGAR 2-1
10 years ago
StarTV29 Jun
U21 Ulaya, Italia yaikandamiza Uingereza 3-1.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/06/24/150624215843_italy_team_cheering_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Timu ya Italia ikishangilia bao.
Timu ya England chini ya miaka 21 imekubali kichapo cha Mabao 3-1 kutoka kwa Italia katika michuano ya ulaya.
Italia walianza kuandika bao lao la kwanza dakika ya 25 ya mchezo, kwa bao la Andrea Belotti Kabla ya Marco Benassi kuongeza mengine mawili dakika ya 27 na 72.
Nathan Redmond akaifungia timu yake ya England bao la kufutia machozi baada ya kazi nzuri liliyofanya na kiungo Ruben Loftus-Cheek.
Katika mchezo mwingine wa michuano hii Ureno walikwenda sare...
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Ecuador yailaza Honduras 2-1
10 years ago
BBCSwahili19 Nov
Mrembo na dadake wauawa Honduras
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-_AH7lcULIBY/VGy6aC7GAlI/AAAAAAAAHk8/w890c2RIJzs/s72-c/Honduraswinner2.jpg)
Mwili wa Miss Honduras 2014 wapatikana
![](http://1.bp.blogspot.com/-_AH7lcULIBY/VGy6aC7GAlI/AAAAAAAAHk8/w890c2RIJzs/s1600/Honduraswinner2.jpg)
Miss Honduras 2014 Maria Jose Alvarado (19) na dada yake Sofia (23) walipotea Alhamis iliyopita, na Generali wa Polisi wa...
11 years ago
BBCSwahili03 May
Watoto saba wauawa kinyama Honduras
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/109F1/production/_86318086_gettyimages-187661495.jpg)
Mali beat Honduras to progress at U-17s
9 years ago
StarTV31 Oct
U-17 Mali yaichakaza Honduras, Coratia yapeta.
Michuano ya kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17 hatua ya makundi inayoendelea nchini Chile timu ya Mali imetinga hatua ya 16 na kuongoza kundi D baada ya kuitandika timu ya Korea kaskazini kwa mabao 3-0.
Kipigo hicho kimeipa mkono wa kwaheri wa kutupwa nje ya michuano hiyo, huku Amodou Haidara akiifungia Mali bao la kuongoza , kabla ya nahodha Abdou Dante akiongeza la pili , na kisha Aly Male akiihakikishia ushindi kwa kupachika bao la tatu sasa timu hiyo itakipiga na Coratia...