Maiti 13 wa ajali ya Tabora watambuliwa
MAITI za watu 13 kati ya 16 waliokufa katika ajali ya mabasi yaliyogongana juzi mkoani Tabora, zimetambuliwa na ndugu zao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Maiti ajali ya Moro watambuliwa
10 years ago
Habarileo08 Nov
Maiti 4 ajali ya treni hawajatambuliwa
MIILI ya watu wanne kati ya 12 waliokufa papo hapo juzi kwa ajali ya basi la Kampuni ya Super Aljabir baada ya kugongana na gari moshi, mali ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA ), haijatambuliwa.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Maiti yakaa eneo la ajali saa 21
MWILI wa Idd Shamba aliyefariki dunia kwa ajali ya barabarabi katika Kijiji cha Engaruka wilayani hapa, imekaa barabarani kwa zaidi ya saa 21 ikisubiri polisi na daktari kufika eneo la...
10 years ago
Vijimambo13 Nov
Kibaka auawa akidaiwa kupora maiti wa ajali

Ajali hiyo iliyotokea jana asubuhi, iliambatana na tukio la wananchi kuua mtu mmoja (pichani) wakimtuhumu kuwa kibaka aliyejaribu kuwapora fedha marehemu na majeruhi na ilihusisha basi la Wibonela Express lenye namba za usajili T412 CGN lililokuwa likisafiri kutoka Kahama kwenda jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya mashuhuda wa ajali...
10 years ago
Mtanzania14 Apr
Maiti ajali ya basi wazikwa kaburi moja
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
MIILI ya abiria 15 walioteketea kwa moto katika ajali ya basi iliyotokea juzi katika eneo la Ruaha, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, imezikwa katika kaburi moja.
Ilizikwa jana asubuhi katika makaburi ya Msavu Ruaha wilayani humo.
Abiria hao walifariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Nganga walilokuwa wakisafiria lenye namba za usajili T 373 DAH kugongana na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 164 BKG.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, John Henjewele, alisema...
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Ajali Morobest: Wafurika hospitali kutambua maiti
10 years ago
Michuzi17 Dec
LORI LILILOBEBA MAITI LAPATA AJALI, LAUA WATU 5 NA KUJERUHI WENGINE 36
Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Bw. Ahmed Msangi zilieleza kuwa ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nane mchana katika mteremko wa Kanyegele, Kata ya Ntokela wilayani Rungwe.
Kamanda Msangi alisema lori hilo aina ya Mitsubishi Fuso yenye namba za usajili T143 ACR lilikuwa likitokea Ilemi...
11 years ago
Michuzi
NEWS UPDATES: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA HARUSI
Mpaka sasa jumla ya maiti nne zimeopolewa na kufanya kufikia idadi ya maiti kumi zimepatikana katika ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana katika kijiji cha Kalalangabo baada ya mitumbwi iliyokuwa imebeba maharusi ndugu jamaa na wapambe kupigwa wimbi na kuzama.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya Mkoa amesema kuwa bado idadi maiti zilipo kwenye maji ni kubwa ambazo bado hazijapatikana....
11 years ago
GPL
AJALI YAUA 16 NA KUJERUHI 75 TABORA