MAGAVANA WA AFRIKA WAKUTANA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA FEDHA LA KIMATAIFA BI. CHRISTINE LAGARDE
Magavana wa Afrika wakutana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde na Rais wa Kundi la Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim kujadili namna ya kuchochea maendeleo na kuimarisha uchumi barani Afrika.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMagavana wa Afrika wakutana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde na Rais wa Kundi la Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim
Wajadili namna ya kuchochea maendeleo na kuimarisha uchumi barani Afrika.
9 years ago
Dewji Blog14 Oct
Magavana wa Afrika wakutana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa jijini Peru — Lima
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile wakisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde wakati akiingia kwenye ukumbi wa mkutano.
Magavana wa Afrika wakutana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde na Rais wa Kundi la Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim kujadili namna ya kuchochea maendeleo na kuimarisha uchumi barani Afrika.
Katikati ni Mkurugenzi wa...
11 years ago
Habarileo22 May
Magavana Afrika wakutana Kigali
SERIKALI imesema iko imara katika kuendelea na kusimamia juhudi zinazofanywa na Benki ya Afrika katika kuinua mitaji kupitia mpango wa sita wa kukuza mitaji wa benki hiyo (GCI-VI).
10 years ago
VijimamboWaziri wa Fedha na ujumbe wake wakutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika na uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Sep
Balozi Seif akutana na Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya usafiri na matengenezo ya Ndege la AVIC
Picha na – OMPR – ZNZ. Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya usafiri na matengenezo ya Ndege la avic kutoka Jamuhuri ya Watu wa China limejitolea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuanzisha mradi […]
The post Balozi Seif akutana na Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya usafiri na matengenezo ya Ndege la AVIC appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Mikutano ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa inazidi kupamba moto -Lima
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wa pili kutoka kulia (kwa nafasi ya uwaziri na Ugavana wa Benki ya Dunia) akiwa kwenye picha ya pamoja ya Mawaziri wa Fedha wa nchi 20 wanachama ( V20 – Vulnerable Twenty) watakao asirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi (climate change).Mawaziri hao wanatoka nchini Afghanistan, Bangladesh, Barbados, Bhutan, Costa Rica, Ethiopia, Ghana, Kenya, Kiribati, Madagascar, Maldives, Nepal, Philippines, Rwanda, Saint...
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Mikutano ya Benki ya Dunia la Shirika la Fedha la Kimataifa yaendelea mjini Peru-Lima
Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali akiwa na Magavana wa Benki ya Dunia na Shirika la fedha la kimataifa wa Mashariki na Kusini mwa Afrika kwenye majadiliano ya kukuzauchumi katika mkutano wa MEFMI. Aliyesimama mbele ni Bi. Arunma Oteh Makamu wa Rais na Mweka hazina.
Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwa katika mkutano wa kamati ya maendeleo akifuatilia kwa makini majadiliano...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ibF4Ar38vqk/VFrxF8_8rNI/AAAAAAAGvqs/Rh64kfsK3HU/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
Shirika la Afya ulimwenguni (WHO) kanda ya Afrika lapata mkurugenzi mpya
![](http://2.bp.blogspot.com/-ibF4Ar38vqk/VFrxF8_8rNI/AAAAAAAGvqs/Rh64kfsK3HU/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
Shirika la Afya ulimwenguni kanda ya Afrika (WHO - AFRO) katika mkutano wake wa 64 unaendelea nchini Benin kuanzia tarehe 3-7/11/14. Leo tarehe 5/11/14 mkutano huu umemchagua Dkt Matshindiso Rebecca Moeti kutoka Botswana kuwa Mkurugenzi Mpya wa Kanda ya Afrika baada ya kuwashinda wapinzani wake wanne kutoka Cote D'Voire,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Benin na Mali.Dr.Moeti ataongoza kwa kipindi cha Miaka 5 kuanzia mwezi wa Februari, 2015 Wakati ambapo mkurugenzi wa sasa Dr.Louis Sambo...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NtJUJHYrpow/VopH5zQtzfI/AAAAAAAIQKE/3eaI5N2oF80/s72-c/Etihad_Airways_-_Airbus_A380-861.jpg)
SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA BAADA YA KUJIUNGA NA MPANGO WA KUPATA FEDHA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-NtJUJHYrpow/VopH5zQtzfI/AAAAAAAIQKE/3eaI5N2oF80/s320/Etihad_Airways_-_Airbus_A380-861.jpg)
MAKATABA wenya thamani ya dola za kimarekani milioni $700m uliosainiwa na washirika wa ndege ya Etihad kwa ajili ya upanuzi wa shirika hilo umetambuliwa na shirika lenye sifa duniani katika nyanja ya masuala ya kifedha na uchumi la “International Financing Review (IFR)” na hivyo kuitunuku shirika la ndege la Etihad na tuzo maalum.
Mkataba huo wa miaka mitano ulitambulika kama dhamana kubwa kabisa ya mwaka iliyosainiwa kutoka barana ulaya, mashariki ya kati na Afrika, katika hafla...