Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shirika la Afya ulimwenguni (WHO) kanda ya Afrika lapata mkurugenzi mpya


Shirika la Afya ulimwenguni kanda ya Afrika (WHO - AFRO) katika mkutano wake wa 64 unaendelea nchini Benin kuanzia tarehe 3-7/11/14. Leo tarehe 5/11/14 mkutano huu umemchagua  Dkt Matshindiso Rebecca Moeti kutoka Botswana kuwa Mkurugenzi Mpya wa Kanda ya Afrika baada ya kuwashinda wapinzani wake wanne kutoka Cote D'Voire,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Benin na Mali.Dr.Moeti ataongoza kwa kipindi cha Miaka 5 kuanzia mwezi wa Februari, 2015 Wakati ambapo mkurugenzi wa sasa Dr.Louis Sambo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BALOZI MERO AKUTANA NA Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani,Dr. Margert Chan

Balozi wa Kudumu wa Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa,Geneva,Mhe. Balozi Modest J.Mero amekutana na Dr. Margert Chan, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani, katika ofisi za Shirika la Afya Dunia jana tarehe 31 Januari 2014. 
Huu mkutano ni moja ya mikutano ambayo Mhe Balozi anafanya na wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa yenye makao makuu hapa Gevena, Uswisi Katika kajenga mahisiano ya karibu kikazi. Katika mkukutano huu msimamo wa Tanzania kuhusu masuala mbalimbali ya Afya...

 

10 years ago

Michuzi

MAGAVANA WA AFRIKA WAKUTANA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA FEDHA LA KIMATAIFA BI. CHRISTINE LAGARDE

Magavana wa Afrika wakutana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde na Rais wa Kundi la Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim kujadili namna ya kuchochea maendeleo  na kuimarisha uchumi barani Afrika.

 Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile wakisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde wakati akiingia kwenye ukumbi wa mkutano. Magavana wa Afrika wakiwa kwenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Magavana wa Afrika wakutana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa jijini Peru — Lima

IMG_4626

Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile wakisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde wakati akiingia kwenye ukumbi wa mkutano.

Magavana wa Afrika wakutana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde na Rais wa Kundi la Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim kujadili namna ya kuchochea maendeleo  na kuimarisha uchumi barani Afrika.

IMG_4636

Katikati ni Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Dr. Winnie Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Geneva, Uswisi

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Dr. Margaret F. Chan amemteua Dr. Winnie  Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani, upande wa masuala ya Ukimwi, Kifua Kikuu Malaria na Magonjwa yaliyosahaulika. Uteuzi huu umetangazwa rasmi na Dr. Chan wakati wa kikao cha 68 cha Baraza Kuu la Shirika la Afya Duniani kilichoanza tarehe 14 mpaka tarehe 26 Mei 2015, Geneva, Uswisi.
Dr. Mpanju-Shumbusho ni mtaalamu na kiongozi mwenye uzoefu wa zaidi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Magavana wa Afrika wakutana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde na Rais wa Kundi la Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim


Wajadili namna ya kuchochea maendeleo na kuimarisha uchumi barani Afrika.Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile wakisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde wakati akiingia kwenye ukumbi wa mkutano.Katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde akinukuu hoja zilizokuwa zikijadiliwa katika mkutano huo.Magavana wa Afrika wakiwa kwenye Mkutano wa...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)



Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 28/04/2020.WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa mbali mbali vya kuthibiti maambukizi ya Corona kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 110.
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la SEMA mkoani Singida lachangia vifaa vya afya kwa wahudumu 43 wa afya ngazi ya vijiji na mitaa

IMG_1449

Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Ivo Manyaku, akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya vifaa mbalimbali vikiwemo miavuli vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 6.5 milioni vivyogawiwa kwa wahudumu wa afya ngazi ya vijiji na mitaa manispaa ya Singida. Kulia ni Mganga mkuu halmashauri ya manispaa ya Singida, Dk John Mwombeki.

IMG_1463

Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Ivo Manyaku, akimkabidhi Mganga Mkuu halmashauri ya manispaa ya Singida, Dk...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani