Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI AHUTUBIA NA KULIFUNGUA BUNGE LA 11



 Rais Magufuli, aliwashukuru wananchi kwa mara nyingine kwa kumuamini na kumchagua, ambapo ameahidi kuwa kiongozi atakayewatumikia watu wote bila kubagua, na kwamba lengo lake ni kuhakikisha nchi ya tanzania inasonga mbele kimaendeleo.

Rais Magufuli  kwenye hotuba yake pia akaeleza malalamiko aliyoyapokea kwa wananchi ambayo yeye anaona ni kero kwa wananchi, maeneo ambayo anasema ni lazima yashughulikiwe ipasavyo ili kuleta uaminifu kwa wananchi.

Kuhusu Uchumi rais Magufuli amesema kuwa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA NA KUVUNJA BUNGE LA 11 JIJINI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Bunge kabla ya kulivunja Bunge la 11 Jijini Dodoma. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia hotuba ya kuvunjwa kwa Bunge la 11 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo kwenye picha) Jijini Dodoma. Kuanzia Kulia ni Rais wa awamu wa pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa, Rais...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AHUTUBIA NA KUFUNGA BUNGE LA 11 JIJINI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wabunge wakati akifunga Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo tarehe 16 June 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kulihutubia na kulifunga Bunge hilo la 11 jijini Dodoma. P


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe...

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa China ahutubia bunge la Uingereza

Rais wa Uchina Xi Jinping amelihutubia bunge la Uingereza baada ya kupokewa kwa shangwe na taadhima na Malkia Elizabeth wa Uingereza.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Rais Jakaya Kikwete. Rais Kikwete ameanza kulihutubia Bunge Maalum la Katiba kutokana na mwaliko wa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Mheshimiwa Samuel…

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AHUTUBIA MIKUTANO 16 GEITA

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli leo amehutubia jumla ya mikutano 16 ambapo miwili tu ndio iliyokuwa rasmi,alihutubia Kamanga,Nyamatongo,Katunguru,Kasenyi,Nyamazongo,Luchili,Bukokwa, Kalebezo,Nyehunge(mkutano rasmi), Wezera,Nzera,Nkome (mkutano rasmi)Sungusila,Igate,Kasota na Bugurula. Wakazi wa Nkome wakimsikiliza Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni za CCM, Geita Vijijini. Mgombea wa urais kupitia Chama Cha...

 

9 years ago

Mwananchi

JK ahutubia Bunge Kenya, asema mgombea wa CCM atashinda urais

Rais Jakaya Kikwete ameliambia Bunge la Kenya kuwa ana uhakika mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli atashinda na kwamba ataimarisha zaidi ushirikiano baina ya Tanzania na Kenya na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI AHUTUBIA SENGEREMA SEHEMU ALIYOFUNDISHA SEKONDARI

 Mgombea Urais upitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Sengerema waliojitokeza kwa wingi wenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnadani, Sengerema.
Dk. Magufuli aliwaambia wananchi hao kuwa atakuwa kiongozi mwenye maamuzi makini na kufanya kazi kwa bidii katika kuleta maendeleo kwa Watanzania.

Mgombea Urais upitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Sengerema akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya...

 

9 years ago

Michuzi

magufuli ahutubia wakazi wa katesh asubuhi hii MKoani Manyara


 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika Viwanja vya Ofisi ya CCM mjini Katesh, mkoani Manyara mapema leo asubuhi .Dkt Magufuli anatarajia kuhutubia mkutano mkubwa jioni ya leo mjini Karatu unaotarajiwa kurushwa live na kituo cha Star TV. Kiongozi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CCM,Ndugu Abdallah Bulembo akiwaonesha wananchi wa Katesh mfano wa karatasi ya kupigia kura na namna ya kumpigia kura Dkt Magufuli...

 

10 years ago

GPL

MHE. MAGUFULI APOKELEWA KWA KISHINDO DAR, AHUTUBIA NYOMI MBAGALA

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiteremka kwenye ndege.  …Magufuli akisalimiana na wanachama wa CCM.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani