Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI ALIVYOITIKISA RUVUMA LEO,MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA


 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Songea waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Maji Maji mjini  humo mkoani Ruvuma,Mgombea huyo ambaye anawaomba Watanzania ridhaa ya kuwaongoza katika awamu ya tano.PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-RUVUMAMgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa mji wa Songea, ambapo alisema katika serikali yake wakulima hawatokopwa mazao yao, mbolea zitapatikana kwa wakati,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOITIKISA RUVUMA LEO,MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA

Mgombea Urais wa CCM,Dkt John Pombe Mgufuli akiweka shada la Maua kwenye kaburi la Marehemu Kapteni Komba aliyezikwa kijijini kwao Lituhi mkoani Ruvuma.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Songea waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Maji Maji mjini  humo mkoani Ruvuma,Mgombea huyo ambaye anawaomba Watanzania ridhaa ya kuwaongoza katika awamu ya tano,amewaambia kuwa katika serikali yake wakulima hawatokopwa mazao yao, mbolea zitapatikana kwa wakati,...

 

9 years ago

Vijimambo

HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOITIKISA RUVUMA LEO. MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA


 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Songea waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Maji Maji mjini  humo mkoani Ruvuma,Mgombea huyo ambaye anawaomba Watanzania ridhaa ya kuwaongoza katika awamu ya tano.Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa mji wa Songea, ambapo alisema katika serikali yake wakulima hawatokopwa mazao yao, mbolea zitapatikana kwa wakati, barabara zitaboreshwa ,elimu bure mpaka...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hivi ndivyo Magufuli alivyoitikisa Ruvuma, maelfu ya watu wajitokeza kumsikiliza

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Songea waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Maji Maji mjini  humo mkoani Ruvuma,Mgombea huyo ambaye anawaomba Watanzania ridhaa ya kuwaongoza katika awamu ya tano.(PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-RUVUMA)

Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa mji wa Songea, ambapo alisema katika serikali yake wakulima hawatokopwa mazao yao, mbolea zitapatikana kwa wakati,...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AUNGURUMA KARATU MAELFU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA


ZAIDI YA WANACHAMA 324 KUTOKA CHADEMA WAJIUNGA NA CCMAIVUNJA NGOME KUU NA YA MWANZO YA CHADEMA QURONG'IDHAWANANCHI WAKIRI WALIFANYA MAKOSA KUUCHAGUA CHADEMAHALMASHAURI YA WILAYA YA KARATU IMEJAA UBADHILIFU Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Karatu kwenye uwanja wa mikutano wa Mazingira Bora.
Katibu Mkuu yupo kwenye ziara ya kujenga na kukiimarisha Chama mkoa wa Arusha pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.
 Katibu wa NEC Itikadi...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AENDELEA "KUTISHA" MAELFU WAFURIKA KUMSIKILIZA HUKO RUVUMA

MGOMBEA kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia maelfu ya wananchi akiwa kwenye gari, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea Mjini, Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015 ambapo alihutubia mkutano wa kampeni ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni akiwa kwenye mkoa watatu baada ya kuzindua rasmi kampeni zake jijini Dar es Salaam. Mh. Lowassa ameendelea kuonyesha "nguvu" zake kisiasa kutokana na maelfu ya wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

MAELFU WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KUMLAKI KWA SHANGWE DKT MAGUFULI JIJINI MWANZA LEO.

 Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi jioni ya leo.Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama wa chama hicho pamoja na Wananchi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake,nje ya ofisi za CCM mkoa,ambao walijotokeza kumlaki kwa shange na furaha kubwa.Dkt Magufuli amewasili leo jijini Mwanza akitokea jijini Dar kwa ajili ya kujitambulisha kwa wanachama wa chama hicho pamoja na...

 

9 years ago

GPL

MAELFU WALIVYOMPOKEA MAGUFULI JANGWANI, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Makamu wake, Gharib Bilal (Kushoto) katikati ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein. Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, John Pombe Magufuli akiwasalimia Wana-CCM waliofika viwanjani hapo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani