KINANA AUNGURUMA KARATU MAELFU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA
![](http://1.bp.blogspot.com/-sPwZCl_o3u4/VQcSTZ6csLI/AAAAAAAAYL0/5dPRLziXkwM/s72-c/b1.jpg)
ZAIDI YA WANACHAMA 324 KUTOKA CHADEMA WAJIUNGA NA CCMAIVUNJA NGOME KUU NA YA MWANZO YA CHADEMA QURONG'IDHAWANANCHI WAKIRI WALIFANYA MAKOSA KUUCHAGUA CHADEMAHALMASHAURI YA WILAYA YA KARATU IMEJAA UBADHILIFU Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Karatu kwenye uwanja wa mikutano wa Mazingira Bora.
Katibu Mkuu yupo kwenye ziara ya kujenga na kukiimarisha Chama mkoa wa Arusha pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010. Katibu wa NEC Itikadi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-kPUr3LGnnZQ/VeSRPCFd-EI/AAAAAAAH1WI/hhqIcIXwaEk/s72-c/_MG_0137.jpg)
MAGUFULI ALIVYOITIKISA RUVUMA LEO,MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-kPUr3LGnnZQ/VeSRPCFd-EI/AAAAAAAH1WI/hhqIcIXwaEk/s640/_MG_0137.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-LhCpWPRS92c/VeSRP0O-UOI/AAAAAAAH1WQ/qN1TOt_AJWs/s640/_MG_0163.jpg)
9 years ago
Dewji Blog01 Sep
Hivi ndivyo Magufuli alivyoitikisa Ruvuma, maelfu ya watu wajitokeza kumsikiliza
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Songea waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Maji Maji mjini humo mkoani Ruvuma,Mgombea huyo ambaye anawaomba Watanzania ridhaa ya kuwaongoza katika awamu ya tano.(PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-RUVUMA)
![](http://2.bp.blogspot.com/-LhCpWPRS92c/VeSRP0O-UOI/AAAAAAAH1WQ/qN1TOt_AJWs/s640/_MG_0163.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-kPUr3LGnnZQ/VeSRPCFd-EI/AAAAAAAH1WI/hhqIcIXwaEk/s72-c/_MG_0137.jpg)
HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOITIKISA RUVUMA LEO. MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-kPUr3LGnnZQ/VeSRPCFd-EI/AAAAAAAH1WI/hhqIcIXwaEk/s640/_MG_0137.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-LhCpWPRS92c/VeSRP0O-UOI/AAAAAAAH1WQ/qN1TOt_AJWs/s640/_MG_0163.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9hqRIrDyq_k/VeSk6loFVNI/AAAAAAAH1Ys/Iap-G7qB5HM/s72-c/unnamed.jpg)
HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOITIKISA RUVUMA LEO,MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA
![](http://1.bp.blogspot.com/-9hqRIrDyq_k/VeSk6loFVNI/AAAAAAAH1Ys/Iap-G7qB5HM/s640/unnamed.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-kPUr3LGnnZQ/VeSRPCFd-EI/AAAAAAAH1WI/hhqIcIXwaEk/s640/_MG_0137.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-mRmu8UhhuJ8/VeYEpBvELXI/AAAAAAAAYho/UoIoEcsTZgY/s72-c/OTH_4312.jpg)
LOWASSA AENDELEA "KUTISHA" MAELFU WAFURIKA KUMSIKILIZA HUKO RUVUMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-mRmu8UhhuJ8/VeYEpBvELXI/AAAAAAAAYho/UoIoEcsTZgY/s640/OTH_4312.jpg)
11 years ago
MichuziMaelfu wajitokeza kujiandikisha Kilimanjaro Marathon 2014
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
MichuziMAELFU YA WAKAZI WA TUNDURU WAJITOKEZA KUMPOKEA PROF IBRAHIM LIPUMBA
11 years ago
Dewji Blog05 May
Kinana aunguruma Pemba
![](http://4.bp.blogspot.com/-vpBLdKI5jxA/U2URh-5Y_OI/AAAAAAAFfH0/-wSNFkX752E/s1600/34.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.Katika hobuba yake,Ndg. Kinana amewataka Wananchi wa Kisiwani humo,kutohadaika na Wanasiasa wanapita kila mahali kwa lengo la kulipotosha Taifa,hasa juu ya swala la Muundo wa Serikali katika Mchakato wa Katiba Mpya.
![35](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/35.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg....
10 years ago
Dewji Blog28 Nov
Kinana aunguruma Tandahimba
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Tandahimba ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa zao la korosho lina hadithi nyingi sana na njia pekee ya kuleta ukombozi kwa mkulima ni kujenga kwa viwanda vya kutosha vya kubangulia Korosho nchini.
![](http://1.bp.blogspot.com/-O-b7TiIKy3I/VHdQLfDp1DI/AAAAAAAAUEo/ixrWymmF0pI/s1600/2.jpg)
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Tandahimba ambapo aliwaambia wasihadaike na wapinzani ambao muda wao wa ujana wameutumia wakiwa CCM na uzeeni kuingia upinzani na kuanza kuhadaa watu walioishi...