Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli amtumia Hollande salamu za rambirambi

RAIS John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Ufaransa, François Hollande, kutokana na tukio la kigaidi la mashambulizi kadhaa yaliyotokea nchini humo mwishoni mwa wiki jijini Paris.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli amtumia Mwenyekiti wa TADWU  salamu za rambirambi

Rais John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama cha Madereva Tanzania TADWU kutokana na kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Rashid Salehe kilichotokea tarehe 20 Novemba mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Katika salamu hizo Rais Magufuli amesema Taifa limempoteza mtu shupavu, mkweli, makini na aliyependa kupigania haki pale alipoamini kuwa panastahili haki hiyo na alithibitisha hilo kwa kupigania uanzishwaji wa Chama cha Madereva na kusimama...

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli amtumia salamu za Rambirambi kwa Rais Kikwete

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na Dada yake Mpendwa Bi. Tausi Khalfan Kikwete kilichotokea jana tarehe 17 Desemba, 2015 huko nchini India. Katika salamu hizo, Rais Magufuli amesema anaungana na familia ya Rais Mstaafu Kikwete katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli amtumia salamu za Rambirambi Rais Kikwete kwa kufiwa na Dada yake




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na Dada yake Mpendwa Bi. Tausi Khalfan Kikwete kilichotokea jana tarehe 17 Desemba, 2015 huko nchini India.
Katika salamu hizo, Rais Magufuli amesema anaungana na familia ya Rais Mstaafu Kikwete katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya kuondokewa na mtu muhimu kwa familia."Kwa masikitiko makubwa nakupa...

 

10 years ago

Habarileo

JK amtumia salamu za rambirambi Bendera

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera kwa vifo vya watu 12 waliokufa papo hapo na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa kutokana na ajali ya barabarani.

 

11 years ago

Habarileo

JK amtumia RC Mwanza salamu za rambirambi

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo, kutokana na mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo, Clement Mabina na Tenery Malimi.

 

10 years ago

Dewji Blog

JK amtumia salamu za rambirambi Dkt. Shein kufuatia kifo cha Mwakilishi wa jimbo la Magomeni, Zanzibar

salmin-awadh

Marehemu  Mh. Salmin Awadh enzi za uhai wake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amempelekea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Mheshimiwa Salmin Awadh Salmin, Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni katika Baraza la Wawakilishi na Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Baraza hilo.

Mheshimiwa Salmin ambaye alikuwa pia Katibu wa Kamati ya Wabunge wa Chama cha Mapinduzi...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amtumia salamu za rambirambi mkuu wa mkoa wa arusha kufuatia vifo vya watu katika ajali iliyotokea jijini humo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Magesa Mulongo kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 30 Oktoba, 2014 katika eneo la Makumira Wilayani Arumeru katika Mkoa wa Arusha na kusababisha vifo vya abiria 12 papo hapo na wengine kujeruhiwa. 
 “Nimeshtushwa na kusikitishwa sana kutokana na ajali hii mbaya ambayo kwa ghafla imeondoa uhai wa wenzetu 12 wasio na hatia kutokana na...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu takribani 18waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyotekea leo Apr 15, 2020, majira ya saa 12:55 asubuhi katikakijiji cha KilimahewaKaskazini, Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani  

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani