Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli apata mapokezi ya kishindo Zanzibar

>Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli jana alipata mapokezi ya kishindo alipokwenda Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na chama hicho wiki iliyopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA APATA MAPOKEZI YA NGUVU MJINI TARIME

Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, alipowasili mjini Tarime kwa Mkutano wa Kampeni, Oktoba 10, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI. Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Tarime katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara Oktoba 10,...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA APATA MAPOKEZI YA KIHISTORIA KISIWANI PEMBA

- Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwapungia mkono wananchi, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015.- Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa akiwa ameusimamisha msafara wake...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa UVCCM apata mapokezi ya Kihistoria Mbinga

10253914_742044062537178_1342623994266714427_n

Katibu mkuu wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndugu Sixtus Mapunda amepata makubwa wilayani Mbinga yaliyoacha gumzo kubwa wilayani hapo. Mapunda ambaye alitoke wilaya ya Nyasa amepokelewa kwa kishindo kikubwa na viongozi wa CCM pamoja na mamia ya wananchi wa wilaya ya Mbinga ambako ndipo alikozaliwa.

Mapunda ameingia Mbinga jana akitokea wilaya ya Nyasa ambapo ni muendelezo wa ziara yake ya siku tano (5) Mkoani Ruvuma. Ziara ambayo inalenga kukagua na...

 

9 years ago

Bongo5

Mshambuliaji Dimitar Berbatov apata mapokezi makubwa Ugiriki

Mshambuliaji Dimitar Berbatov aliyewahi kuvichezea vilabu vya Tottenham Hotspur, Manchester United,Fulham na AS Monaco amejiunga na klabu ya PAOK ya Ugiriki. Dimitar Berbatov mwenye umri wa miaka 34 amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea katika klabu ya AS Monaco. Anakuwa mchezaji aliyeingia katika usajili wa kihistoria wa klabu ya PAOK. Mchezaji […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete awasili Dar, apata mapokezi makubwa

jk1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakati ndege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014.

jk3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye matibabu leo Novemba 29, 2014.

jk4

Rais Jakaya...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND PLATINUMZ ATUA DAR APATA MAPOKEZI YA NGUVU.

Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.

 

10 years ago

Michuzi

MAPOKEZI YA MH. LOWASSA MJINI BUKOBA HAYANA MFANO, AZIDI KUDHAMINIWA KWA KISHINDO

 Umati wa wanaCCM pamoja na wananchi wa Mji wa Bukoba mkoani Kagera ukiwa umemzunguka Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Edward Lowassa, wakati alipowasili kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Kagera, leo Juni 15, 2015.Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Edward Lowassa akipokea fomu kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Bukoba mjini, Acheni Mwinshehe, zenye majina ya wanaCCM wa Mkoa wa Kagera...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA ATUA MPANDA KWA CHOPA, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

Chopa iliyowabeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, ikitua kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe,...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA ATUA SINGIDA MJINI LEO, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

Wananchi wa Mji wa Singida wakiishangilia Chopa ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati ikiwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini Singida leo Septemba 12, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye wakiwapungua wananchi wa mji wa Singida, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani