Magufuli na Ushairi
Uokoe ushairi, Mheshimiwa Magufuli, Tuokoe jemadari, kwa mawazo hatulali, Kazi zetu pia ari, za bure hawatujali, Ni Rais Magufuli uokoe ushairi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMSHINDI WA TUZO YA USHAIRI APATIKANA
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Ushairi, jukwaa la kisiasa la Nyerere
TANGU kale, ushairi wa Kiswahili ulioandikwa na ule ulionenwa kwa mdomo (simulizi), ulifungamana
Mwandishi Wetu
9 years ago
Dewji Blog17 Sep
Mwalimu Nyerere katika uga wa ushairi
Rais wa awamu ya kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (pichani) alizaliwa mwaka 1922 katika Wilaya ya Butiama Mkoa wa Mara, mnamo tarehe 14 Oktoba, 1999, aliaga dunia katika hospitali ya mtakatifu Thomas Jijini London nchini Uingereza.
Katika uhai wake, alikuwa ni Mmalenga. Aliandika barua ya Kiserikali kwa mtindo wa utenzi, pia alijibiwa barua hiyo kwa mtindo wa utenzi na Nguli/Karii, Hayati Saadani Abdul Kandoro...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Kgvm9fl0qQw/VflDgBhXdLI/AAAAAAAH5RU/eumVQ_OyMlE/s72-c/Kandoro.jpg)
MWALIMU NYERERE KATIKA UGA WA USHAIRI
![](http://4.bp.blogspot.com/-Kgvm9fl0qQw/VflDgBhXdLI/AAAAAAAH5RU/eumVQ_OyMlE/s640/Kandoro.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-zs_iNLuftJA/VflDf0lfxhI/AAAAAAAH5RQ/qaOxNbS-dHU/s640/Nyerere.jpg)
Katika uhai wake, alikuwa ni Mmalenga. Aliandika barua ya Kiserikali kwa mtindo wa utenzi, pia alijibiwa barua hiyo kwa mtindo wa utenzi na Nguli/Karii, Hayati Saadani Abdul Kandoro aliyekuwa...
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Sheikh Mataka: Ushairi nchini umekufa na kuzikwa