Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushairi, jukwaa la kisiasa la Nyerere

TANGU kale, ushairi wa Kiswahili ulioandikwa na ule ulionenwa kwa mdomo (simulizi), ulifungamana

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MWALIMU NYERERE KATIKA UGA WA USHAIRI

  RAIS wa awamu ya kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere  alizaliwa mwaka 1922 katika  Wilaya ya Butiama Mkoa wa  Mara, mnamo tarehe 14 Oktoba, 1999, aliaga dunia katika hospitali ya mtakatifu  Thomas  Jijini London nchini Uingereza.  
Katika uhai wake,  alikuwa ni Mmalenga.   Aliandika barua ya Kiserikali kwa mtindo wa utenzi, pia alijibiwa barua hiyo  kwa mtindo wa utenzi na Nguli/Karii,  Hayati Saadani Abdul Kandoro aliyekuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mwalimu Nyerere katika uga wa ushairi

Rais wa awamu ya kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (pichani) alizaliwa mwaka 1922 katika  Wilaya ya Butiama Mkoa wa  Mara, mnamo tarehe 14 Oktoba, 1999, aliaga dunia katika hospitali ya mtakatifu  Thomas  Jijini London  nchini Uingereza.  

Katika uhai wake,  alikuwa ni Mmalenga.  Aliandika barua ya Kiserikali kwa mtindo wa utenzi, pia alijibiwa barua hiyo  kwa mtindo wa utenzi na Nguli/Karii,  Hayati Saadani Abdul Kandoro...

 

11 years ago

Michuzi

MH. SITTA ATEMBELEWA NA JUKWAA LA KATIBA NA JUKWAA LA WAHARIRI MJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta, akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba (JUKATA), Deus Kibamba, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma leo. Kushoto ni mjumbe wa Jukwaa hilo Hezron Kaaya. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akizungumza na Viongozi wa Jukwaa la Wahariri (TEF), walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo. Picha na Owen Mwandumbya.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli na Ushairi

Uokoe ushairi, Mheshimiwa Magufuli, Tuokoe jemadari, kwa mawazo hatulali, Kazi zetu pia ari, za bure hawatujali, Ni Rais Magufuli uokoe ushairi.

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA TUZO YA USHAIRI APATIKANA

Washindi wa tuzo za ushairi wa kwanza kulia ni mshindi wa pili Rashidi Abdu Rai, katikati mshindi wa kwanza Esther Mgondo na Sylvin Makila aliyeshika nafasi ya tatu. Mgeni rasmi Profesa Helman Mwansoko akizungumza jambo.…

 

10 years ago

Mwananchi

Sheikh Mataka: Ushairi nchini umekufa na kuzikwa

Kila lugha ina tanzu zake. Ushairi unatajwa kuwa miongoni mwa tanzu hizo.

 

10 years ago

TheCitizen

NYERERE DAY: Untold story of how Nyerere won Africa’s deadly war

>As the nation commemorates the 15th anniversary of the death of founding president Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, fresh details  have emerged on how the globally acknowledged statesman built an eight-year-long case as a curtain raiser to  the war against General Idi Amin Dada – one of Africa’s most brutal dictators.

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara jana , aliposimama kwa muda akielekea kwenye mkutano wa kampeni wilayani huo leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya. Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akiweka shada la la maua alipozuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo wilayani Butiama,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani