Magufuli: Nikishinda sina deni la fadhila.
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema hana deni la kulipa kwa mtu yeyote akichaguliwa kushika wadhifa huo kwa kuwa hakutoa rushwa wakati wa uteuzi ndani ya chama hicho.
Magufuli alitoa kauli hiyo jana wakati akijinadi yeye na wagombea udiwani na ubunge wa CCM mkoani hapa ili wachaguliwe katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Dk. Magufuli alikuwa akijinadi na wagombea hao kwa nyakati tofauti katika mji wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania03 Sep
Magufuli: Sina mchezo
NA BAKARI KIMWANGA, MTWARA
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema Serikali yake haitakuwa na mchezo wala ubabaishaji, hasa kwa watumishi wa umma.
Alisema kutokana na msimamo wake huo ambao baadhi ya watu wanaujua, umefanya baadhi ya wabadhirifu ambao ni watumishi wa umma wamchukie.
Kauli hiyo aliitoa jana katika mikutano yake ya kampeni ya kuomba kuchaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano, katika wilaya za Newala, Tandahimba na Mtwara Vijijini na baadaye...
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Magufuli: Sina mpango wa urais
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema kuwa hana mpango na urais wala kujitangaza kuwania nafasi hiyo. Hatua hiyo ilitokana na wananchi wengi kumshangilia na kumwita rais wakati ziara ya...
9 years ago
Habarileo23 Aug
Sumaye: Sina tatizo na Magufuli
WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye hatimaye ametangaza rasmi kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kujiunga na Umoja wa vyama vya Upinzani vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba (UKAWA), huku akisema kwamba hana tatizo na mgombea Urais wa CCM Dk John Magufuli.
9 years ago
Mwananchi06 Nov
Dk Magufuli: Nina deni kubwa kwa Watanzania
9 years ago
Bongo506 Nov
Picha: Dkt John Magufuli aapishwa kuwa Rais wa Tanzania, aahidi kuwatumikia wananchi ‘nina deni kubwa’
![ma35](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/ma35-300x194.jpg)
Dokta John Pombe Magufuli, Alhamis hii ameapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla iliyohudhuriwa na wananchi pamoja na viongozi wa nchi mbalimbali barani Afrika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli akiapishwa Alhamis hii
Ikiwa ni siku iliyotangazwa na Rais aliyeondoka madarakani Jakaya Kikwete kuwa ya mapumziko, wananchi wengi walishuhudia kuapishwa kwa Magufuli kupitia runinga zao. Wengine walisikiliza matangazo...
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Tamthilia ya ‘Fadhila ya Moyo’ yapikwa
TAMTHILIA mpya ya Kiswahili inayokwenda kwa jina la ‘Fadhila ya Moyo’, ambayo pia itakusanya baadhi ya waigizaji nyota hapa nchini, iko mbioni kutoka. Mwandaaji wa Tamthilia hiyo ambayo ni Kiongozi...
11 years ago
Michuzi23 Jul
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4bIsJDjFjL5Ekr-tOHgPN5RgT9t*SNsStPYcfwJvQUPYRWpzd7*ShPwxN8nUgz5vJ3gPVGelACHq3a6USns*fPLBWxgwoB3J/1445887802_lamarodomarticle.jpg?width=650)
WATOTO WA LAMAR ODOM WAMLIPA FADHILA KHLOE KARDASHIAN