Magufuli: Sina mchezo
NA BAKARI KIMWANGA, MTWARA
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema Serikali yake haitakuwa na mchezo wala ubabaishaji, hasa kwa watumishi wa umma.
Alisema kutokana na msimamo wake huo ambao baadhi ya watu wanaujua, umefanya baadhi ya wabadhirifu ambao ni watumishi wa umma wamchukie.
Kauli hiyo aliitoa jana katika mikutano yake ya kampeni ya kuomba kuchaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano, katika wilaya za Newala, Tandahimba na Mtwara Vijijini na baadaye...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Magufuli: Sina mpango wa urais
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema kuwa hana mpango na urais wala kujitangaza kuwania nafasi hiyo. Hatua hiyo ilitokana na wananchi wengi kumshangilia na kumwita rais wakati ziara ya...
9 years ago
Habarileo23 Aug
Sumaye: Sina tatizo na Magufuli
WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye hatimaye ametangaza rasmi kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kujiunga na Umoja wa vyama vya Upinzani vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba (UKAWA), huku akisema kwamba hana tatizo na mgombea Urais wa CCM Dk John Magufuli.
9 years ago
Vijimambo28 Aug
Magufuli: Nikishinda sina deni la fadhila.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/John-28August2015.jpg)
Magufuli alitoa kauli hiyo jana wakati akijinadi yeye na wagombea udiwani na ubunge wa CCM mkoani hapa ili wachaguliwe katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Dk. Magufuli alikuwa akijinadi na wagombea hao kwa nyakati tofauti katika mji wa...
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Okwi: Sina Ubaguzi
Mshambuliaji wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi.
Na Mwandishi wetu
Mshambuliaji wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi, amesema yeye hachagui mchezaji wa kucheza naye anapokuwa uwanjani anachotaka yeye kupangwa na mchezaji ambaye anajituma.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Okwi alisema, kama mchezaji hana sababu ya kuchagua mchezaji wa kucheza naye wote kwake sawa cha msingi wawe wanasaidiana.
“Sioni sababu ya kutaja jina la mchezaji ambaye napenda au nafurahia kucheza naye, wote sawa lakini...
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Sina mpango wa kuigiza