Okwi: Sina Ubaguzi
Mshambuliaji wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi.
Na Mwandishi wetu
Mshambuliaji wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi, amesema yeye hachagui mchezaji wa kucheza naye anapokuwa uwanjani anachotaka yeye kupangwa na mchezaji ambaye anajituma.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Okwi alisema, kama mchezaji hana sababu ya kuchagua mchezaji wa kucheza naye wote kwake sawa cha msingi wawe wanasaidiana.
“Sioni sababu ya kutaja jina la mchezaji ambaye napenda au nafurahia kucheza naye, wote sawa lakini...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Okwi: Sina mpango wa kurudi Bongo
WAKATI uongozi wa Yanga ukidai hauna muda kuendelea kulijadili suala la mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi, mshambuliaji huyo naye amesema hana mpango wa kurudi kucheza soka Tanzania. Akizungumza...
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XS0VdRDz2qA/U2NPpWh4jmI/AAAAAAAFe2A/IyWNMyNtB7c/s72-c/unnamed.png)
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Ubaguzi wa rangi:Gyan alalama
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Ubaguzi wa mashabiki wa Chelsea watolewa
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
FIFA inachunguza ubaguzi wa rangi
11 years ago
Habarileo11 Apr
‘Serikali tatu kuibua ubaguzi’
KAMATI za Bunge Maalumu la Katiba zimeanza kuwasilisha bungeni maoni yake, kuhusu mijadala ya sura ya kwanza na ya sita ya rasimu ya Katiba mpya, huku wengi wakikataa muundo wa serikali tatu, kwa kusema utaibua hisia za ubaguzi kwa wananchi wa taifa moja.
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Mar
Dhambi ya ubaguzi inaiua CHADEMA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema dhambi ya ubaguzi ndani ya CHADEMA inaiua na sio kwamba kuna mkono wa CCM.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Mto wa Mbu.
Nape alisema CHADEMA inaelekea kufa kutokana na kukumbatia dhambi ya ubaguzi na umwagaji wa damu za wananchi wasio na hatia.
ìTulijua watasema kuwa sisi CCM tumeingiza mkono wetu ndani ya chama chao, hiyo si kweli....
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Mtetezi wa ubaguzi kusalia jela SA