Ubaguzi wa mashabiki wa Chelsea watolewa
Kanda ya video inayowaonyesha mashabiki wa kilabu ya Chelsea wakimzuia mtu mweusi kuingia katika treni mjini Paris imetolewa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …
Kocha wa mpya wa muda wa klabu ya Chelsea Guus Hiddink ambaye amejiunga kwa mara ya pili kuifundisha klabu hiyo, baada ya miaka sita toka aondoke mwishoni mwa mwaka 2009 kama kocha wa muda wa klabu hiyo, Guus Hiddink ambaye ndio ameichukua Chelsea mikononi mwa Jose Mourinho ili aiokoe isiporomoke zaidi, ameanza kwa kuwatuliza mashabiki […]
The post Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake … appeared first on...
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Mashabiki Chelsea wamlilia Mourinho
LONDON, ENGLAND
MASHABIKI wa Chelsea wameshindwa kuzuia hisia zao juzi katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Sunderland ambapo klabu yao ilishinda mabao 3-1, lakini walionekana wakiwa na mabango ambayo yanaonesha bado wanamuhitaji.
Kocha huyo amefukuzwa na klabu hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita, lakini katika mchezo wa juzi mashabiki waliojitokeza kwenye Uwanja wa Stamford Bridge, walionekana wakiimba nyimbo za kumsapoti Mourinho.
Kuna baadhi ya mashabiki ambao walionekana wakiwa na mabango...
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Baada ya Fabregas kuzomewa na mashabiki wa Chelsea, Pedro kaamua kuongea haya ….
December 19 Ligi Kuu Uingereza iliendelea na moja ya mechi zilizochezwa ni ile ya Chelsea dhidi ya Sunderland, mchezo uliomalizika kwa Chelsea kuibuka na ushindi wa goli 3-1. Katika mchezo huo, mashabiki wa Chelsea walionekana kumzomea Fabregas kwa kauli yake aliyoitoa juu ya Diego Costa kuwa anachangia kupata matokeo mabovu kwa timu hiyo. Mshambuliaji Pedro Rodriguez […]
The post Baada ya Fabregas kuzomewa na mashabiki wa Chelsea, Pedro kaamua kuongea haya …. appeared first on...
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XS0VdRDz2qA/U2NPpWh4jmI/AAAAAAAFe2A/IyWNMyNtB7c/s72-c/unnamed.png)
10 years ago
Habarileo23 May
Lowassa, wenzake watolewa
WAGOMBEA sita wa nafasi ya urais kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM)waliotangaza nia kabla ya wakati wametolewa kifungoni kwa kutopewa adhabu yoyote na kuonywa kutorudia kitendo hicho kama wanataka kufikiriwa kuwania nafasi hiyo muda utakapofika.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YoqhN--8jZcaPIN9k5rKVYNWq7GsZzpZjZhfuCTHsJ6UZ4PVT6VsyZFumIKC-5cuimMdCNR9WUB6QUAYmDKii-80dfL8svTj/Audienceukumbiniwakifuatiliashow.jpg)
WAWILI WATOLEWA TMT
10 years ago
Habarileo26 Sep
Muongozo wa tiba selimundu watolewa
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Tiba cha Muhimbili(MUHAS) wamezindua mwongozo wa matibabu kwa ajili ya utoaji wa huduma za ugonjwa wa selimundu utakaotumika katika hospitali zote nchini.
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Man City watolewa ligi ya mabingwa