Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa, wenzake watolewa

Nape Nnauye.WAGOMBEA sita wa nafasi ya urais kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM)waliotangaza nia kabla ya wakati wametolewa kifungoni kwa kutopewa adhabu yoyote na kuonywa kutorudia kitendo hicho kama wanataka kufikiriwa kuwania nafasi hiyo muda utakapofika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Lowassa na wenzake: CCM imejitakia

MAKALA yangu ya mwisho ilieleza kirefu kidogo kuhusu michakato ndani ya chama-tawala, jinsi ambav

Jenerali Ulimwengu

 

10 years ago

Vijimambo

NYOTA YA LOWASSA YAZIDI KUNG'ARA AWAPIKU WENZAKE KWA ASILIMIA 20 NI KATIKA KUWANIA URAIS WA TANZANIA

Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Samunge Social Research Centre, George Nyaronga (katikati), akisisitiza jambo wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu utafiti uliofanywa na taasisi hiyo kuhusu viongozi wanaotaka kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu ambapo Waziri Mkuu wa zamani,  Edward Lowassa ameonesha kuwapiku wenzake kwa kupata asilimia 20 akifuatiwa na  Dk.Willibrod Slaa aliyepata asilimia 11.7....

 

10 years ago

GPL

NYOTA YA LOWASSA YAZIDI KUNG'ARA AWAPIKU WENZAKE KWA ASILIMIA 20 NI KATIKA KUWANIA URAIS WA TANZANIA‏

Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Samunge Social Research Centre, George Nyaronga kutoka Chuo Kikuu Huria (OUT). Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Samunge…

 

10 years ago

GPL

WAWILI WATOLEWA TMT

Watazamaji ukumbini wakifuatilia shoo. Watazamaji ukumbini. Mshiriki, Catherine Nicholaus kutoka…

 

10 years ago

BBCSwahili

Ubaguzi wa mashabiki wa Chelsea watolewa

Kanda ya video inayowaonyesha mashabiki wa kilabu ya Chelsea wakimzuia mtu mweusi kuingia katika treni mjini Paris imetolewa.

 

10 years ago

Habarileo

Muongozo wa tiba selimundu watolewa

HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Tiba cha Muhimbili(MUHAS) wamezindua mwongozo wa matibabu kwa ajili ya utoaji wa huduma za ugonjwa wa selimundu utakaotumika katika hospitali zote nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wito watolewa Congo ichunguze makaburi

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo imetakiwa kuchunguza eneo la makaburi linalodaiwa kuzikwa mamia ya watu

 

11 years ago

BBCSwahili

Wito watolewa washia wajihami Iraq

Kiongozi wa washia ametoa wito kwa wananchi kujihami tayari kwa vita dhidi ya wapiganaji wa kisuni wanaoendelea kuteka miji zaidi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ushahidi dhidi ya Ntaganda watolewa ICC

Shahidi wa kwanza ameanza kutoa ushahidi wake katika kesi ya aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Congo Bosco Ntaganda katika mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita mjini The Hague.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani