Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Man City watolewa ligi ya mabingwa

Timu za England zametolewa kinyang'anyiro cha klabu bingwa barani Ulaya,baada ya Man City kuchabangwa bao 1-0 dhidi ya Barcelona.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Man City wapewa Barca 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya

Nyon, Uswisi. Droo ya hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imepangwa jana huku Manchester City wakikutana na Barcelona.

 

10 years ago

Mwananchi

Man City, Liverpool zaingia vitani Ligi ya Mabingwa Ulaya

Klabu za Ligi Kuu England zina kibarua kigumu cha kufuzu kucheza hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya leo na kesho.

 

5 years ago

BBCSwahili

Real Madrid v Man City: Kwanini Pep Guardiola huenda akafanya maaajabu katika Ligi ya Mabingwa Ulaya

Marufuku ya kucheza kwa miaka miwili ligi hiyo kuanzia msimu ujao - inastahili kuwapa motisha City.

 

9 years ago

BBCSwahili

Man Utd waondolewa Ligi ya Mabingwa Ulaya

Manchester United wameondolewa kutoka kwenye Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kushindwa na klabu ya Wolfsburg kutoka Ujerumani Jumanne usiku.

 

11 years ago

BBCSwahili

Man City ni mabingwa 2014

Manchester City walitawazwa mabingwa baada ya kuipiku Liverpool

 

5 years ago

BBCSwahili

Manchester City: Uefa yawapiga marufuku mabingwa watetezi wa ligi ya England

Manchester City imepigwa marufuku kushiriki katika ligi ya mabingwa kwa misimu miwili na Uefa

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Man City Mabingwa wapya wa Kombe la Capital One 2014

Timu ya Manchester City imeibuka na Ubingwa wa kombe la Capital One baada ya kuifunza mpira timu ya Sunderland kwa kuichabanga magoli 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa uwanja wa Wembley,Machi 2,2014.

Katika mchezo huo uliokuwa ni mkali na wa kuvutia,Timu ya Sunderland ndio iliyokuwa ya kwanza kuona lango la Manchester City mnamo dakika ya 10 ya mchezo kupitia kwa Mchezaji wake,Fabio Borini katika kipindi cha kwanza.

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na Timu ya Manchester City...

 

11 years ago

BBCSwahili

Man City yaongoza ligi kuu England

Klabu ya Manchester City yashika usukani kwenye jedwali la msimamo wa ligi kuu Egland kwa ushindi wa mabao 5-1 dhidi Tottenham.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani