Man City, Liverpool zaingia vitani Ligi ya Mabingwa Ulaya
Klabu za Ligi Kuu England zina kibarua kigumu cha kufuzu kucheza hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya leo na kesho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Man City wapewa Barca 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya
Nyon, Uswisi. Droo ya hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imepangwa jana huku Manchester City wakikutana na Barcelona.
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Miamba minne vitani Ligi ya Mabingwa Ulaya
Nyon, Uswisi. Mechi za kwanza za hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya zitachezwa kesho na keshokutwa kabla ya kuchezwa mechi za marudiano Aprili 29 na 30 Aprili 2014.
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Real Madrid v Man City: Kwanini Pep Guardiola huenda akafanya maaajabu katika Ligi ya Mabingwa Ulaya
Marufuku ya kucheza kwa miaka miwili ligi hiyo kuanzia msimu ujao - inastahili kuwapa motisha City.
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Man Utd waondolewa Ligi ya Mabingwa Ulaya
Manchester United wameondolewa kutoka kwenye Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kushindwa na klabu ya Wolfsburg kutoka Ujerumani Jumanne usiku.
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Man City watolewa ligi ya mabingwa
Timu za England zametolewa kinyang'anyiro cha klabu bingwa barani Ulaya,baada ya Man City kuchabangwa bao 1-0 dhidi ya Barcelona.
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Real, Liverpool, Arsenal vitani Ulaya
Real Madrid imeweka rekodi ya kutwaa taji hilo mara 10
Manchester, England. LReal Madrid ilikata kiu ya kusubiri ubingwa wa soka wa Ulaya kwa miaka 12 ilipotwaa taji hilo kwa mara ya kumi (la Decima) msimu uliopita.
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Chelsea, Man City vitani
Chelsea wanasaka kuendeleza rekodi yao ya kutokufungwa mechi 24 leo watakapoivaa Newcastle United katika Ligi Kuu England.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/CNbez2hWIAA8noq-1.jpg)
MAKUNDI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Kundi A
1. Paris St-Germain
2. Real Madrid
3. Shakhtar Donetsk
4. Malmö FF
Kundi B
1. PSV Eindhoven
2. Manchester United
3. CSKA Moscow
4. Wolfsburg Kundi C
1. Benfica
2. Atlético Madrid
3. Galatasaray
4. Astana Kundi D
1. Juventus
2. Manchester City
3. Sevilla
4. B.Mö’gladbach Kundi E
1. Barcelona
2. Bayer Leverkusen
3. Roma
4. BATE Borisov
Kundi F
1. Bayern Munich
...
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania