MAKUNDI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/CNbez2hWIAA8noq-1.jpg)
Kundi A 1. Paris St-Germain 2. Real Madrid 3. Shakhtar Donetsk 4. Malmö FF Kundi B 1. PSV Eindhoven 2. Manchester United 3. CSKA Moscow 4. Wolfsburg Kundi C 1. Benfica 2. Atlético Madrid 3. Galatasaray 4. Astana Kundi D 1. Juventus 2. Manchester City 3. Sevilla 4. B.Mö’gladbach Kundi E 1. Barcelona 2. Bayer Leverkusen 3. Roma 4. BATE Borisov Kundi F 1. Bayern Munich ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL10 years ago
GPL11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Makundi Ligi ya Mabingwa Mikoa hadharani
LIGI ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) 2013/14, inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 10 hadi Juni 2, ambapo mabingwa 27 wa mikoa hiyo wamegawanywa makundi matatu ya timu tisa kila moja...
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
9 years ago
Bongo504 Nov
Matokeo ya ligi ya mabingwa Ulaya, November 3
![1446586392283_lc_galleryImage_Football_Manchester_Unite](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/1446586392283_lc_galleryImage_Football_Manchester_Unite-300x194.jpg)
Mechi za ligi ya mabingwa wa Ulaya ziliendelea tena usiku wa November 3. Kulikuwa na mechi katika viwanja vinane tofauti kwa michezo ya Kundi A, B, C na D kupigwa.
MATOKEO YA MECHI HIZO;
Shakhtar Donetsk 4-0 Malmo FF
B. Monchengladbach 1-1 Juventus
Benfica 2-1 Galatasaray
Real Madrid 1-0 Paris Saint-Germain
Sevilla 1-3 Manchester City
PSV 2-0 VfL Wolfsburg
Manchester United 1-0 CSKA Moscow
FC Astana 0-0 Atletico de Madrid
10 years ago
StarTV30 Sep
Ligi ya Mabingwa Ulaya kuendelea tena leo.
Katika michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya leo kuna kivumbi kingine ambapo CSKA Moscow itakuwa na kibarua kigumu pale watakapowakaribisha Bayern Munich.
Wakati huo huo Man City waliopigwa bao moja na Bayern Munich watakutana na AC Roma iliyowapiga CSKA Moscow mabao matano katika mechi iliyopita.
Paris St G ya Ufaransa wao wanakutana uso kwa uso na Barcelona
Ukumbumbuke katika mechi ya wikendi iliyopita Paris St G walitoka sare na Ajax bao moja kwa moja.
Ajax inakutana leo na Apoel...
9 years ago
Bongo517 Sep
Haya ni matokeo ya mechi za ligi ya mabingwa Ulaya
9 years ago
Bongo503 Nov
Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya leo November 3
![article-3300866-2E0A384000000578-957_636x412](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/article-3300866-2E0A384000000578-957_636x4121-94x94.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wyK9bAs*AkW7vmhYZPuqN1hjT8D1i4Re77j*3e6qQuF1AlvioDjuhbIO0VvHRThkwykDqvh3-eDPiFy0SaWII4JyOvsosEjz/LEO.jpg)