Real, Liverpool, Arsenal vitani Ulaya
Real Madrid imeweka rekodi ya kutwaa taji hilo mara 10 Manchester, England. LReal Madrid ilikata kiu ya kusubiri ubingwa wa soka wa Ulaya kwa miaka 12 ilipotwaa taji hilo kwa mara ya kumi (la Decima) msimu uliopita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Liverpool, Arsenal vitani England
Liverpool inatarajia kufanya ya msimu uliopita walipoitandika Arsebal mabao 5-1, wakati timu hizo zinapokutana kwenye mchezo wa leo wa Ligi Kuu England kwenye Uwanja wa Anfield.
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Man City, Liverpool zaingia vitani Ligi ya Mabingwa Ulaya
Klabu za Ligi Kuu England zina kibarua kigumu cha kufuzu kucheza hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya leo na kesho.
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Miamba minne vitani Ligi ya Mabingwa Ulaya
Nyon, Uswisi. Mechi za kwanza za hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya zitachezwa kesho na keshokutwa kabla ya kuchezwa mechi za marudiano Aprili 29 na 30 Aprili 2014.
10 years ago
BBCSwahili23 Oct
Liverpool yachabangwa na Real Madrid 3-0
Katika ligi ya mabingwa barani Ulaya Liverpool imechabangwa nyumbani Anfield kwa mabao 3-0 kutoka kwa Real Madrid.
10 years ago
BBCSwahili29 Aug
10 years ago
BBCSwahili05 Nov
Real Madrid yailaza Liverpool 1-0
Katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya katika michezo minane ,watetezi Real Madrid wameinyuka Liverpool bao 1-0
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Arsenal, Real Madrid zaumia ugenini
London, England. Mechi za majirani au ‘derby’, jana zilimalizika kwa Arsenal na Real Madrid kufungwa na Tottenham na Atletico Madrid.
11 years ago
BBCSwahili09 Feb
Liverpool yaidhalilisha Arsenal 5-1
Liverpool imewakandamiza Arsenal kwa kuwaangushia kipigo kikali cha magoli 5-1 katika uwanja wa Anfield.
11 years ago
Mwananchi08 Feb
Liverpool, Arsenal ‘majanga’
Vinara wa Ligi Kuu England, Arsenal leo wanaanza kuruka viuzi vizito vya Februari wakati wakapokuwa ugeniniAnfield kucheza mechi yake ya kwanza kati ya mbili dhidi ya Liverpool katika wiki hii.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania