Liverpool, Arsenal vitani England
Liverpool inatarajia kufanya ya msimu uliopita walipoitandika Arsebal mabao 5-1, wakati timu hizo zinapokutana kwenye mchezo wa leo wa Ligi Kuu England kwenye Uwanja wa Anfield.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Real, Liverpool, Arsenal vitani Ulaya
Real Madrid imeweka rekodi ya kutwaa taji hilo mara 10
Manchester, England. LReal Madrid ilikata kiu ya kusubiri ubingwa wa soka wa Ulaya kwa miaka 12 ilipotwaa taji hilo kwa mara ya kumi (la Decima) msimu uliopita.
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Man City, Liverpool zaingia vitani Ligi ya Mabingwa Ulaya
Klabu za Ligi Kuu England zina kibarua kigumu cha kufuzu kucheza hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya leo na kesho.
11 years ago
BBCSwahili27 Apr
Liverpool, Chelsea hapatoshi England
Vinara wa ligi kuu ya England Liverpool na Chelsea zinapambana kuwania ushindi
11 years ago
BBCSwahili31 Dec
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Arsenal yapeta Ligi Kuu England
Timu ya Arsenal yazidi kuongoza ligi kuu ya England ikiwa imeingia mzunguko wa 20
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO69NUWO365Uw5uKqUsIQzIahb-5jr9Qo4J-LmosFq7vZ8FYsoZFfppVYR*rBGJ9rboBCj2-SHWWN9LlbLdDaj0U/arsenal.jpg?width=650)
ARSENAL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND
Ligi Kuu ya England mwaka huu ni shughuli pevu.
Jumamosi, Chelsea alikuwa kileleni, Jumapili, Manchester City na sasa ni Arsenal. Kiasi cha pointi mbili tu kinazitenganisha timu tatu za juu. Kikosi cha Arsene Wenger kimerejea kileleni kufuatia ushindi wa mabao 2-1 ugenini usiku wa kuamkia leo dhidi ya Aston Villa. Jack Wilshere alifunga dakika ya 34 na Olivier Giroud akafunga la pili dakika ya 35 Arsenal ikaongoza 2-0 kabla ya...
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Newcastle yainyuka Liverpool ligi kuu England
Newcastle walishangaza majogoo wa Ligi ya Uingereza Liverpool kwa kuwanyuka 2-0 mechi iliyochezewa uwanja wa St James Park.
9 years ago
Mwananchi17 Aug
LIGI KUU ENGLAND: Ukuta Arsenal na safari ndefu ya ubingwa
Wiki moja tangu kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu England 2015/16, tayari mashabiki wa klabu ya Arsenal wameanza kuingiwa hofu
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Man Utd, Arsenal, Chelsea kuwasha moto upya England
Ligi Kuu England inaendelea leo kwa mechi kadhaa ingawa haiwezi kubadili msimamo wa ligi hiyo, hasa kwenye nafasi za juu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania