MAGUFULI: RAIS MTARAJIWA MWENYE HOFU YA MUNGU

John Pombe Magufuli Na Erick Evarist HISTORIA ya maisha yake tangu alipozaliwa hadi sasa, John Pombe Magufuli ameishi katika matakwa ya dini ya Kikrosto. Mbali na kuwa mkristo, mkatoliki, anamheshimu kila mtu. Mwenye imani kama yake, imani tofauti na hata wale wasio na dini, wote anawapa haki sawa. Amemtanguliza Mungu katika kila jambo. Safari yake ya kuomba urais, aliianza kwa kumtanguliza Mungu na kweli akajibu maombi yake....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania19 Jan
‘Tunataka rais mwenye hofu ya Mungu’
Na Debora Sanja, Dodoma
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Watanzania kuhakikisha rais watakayemchagua katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, lazima awe na hofu ya Mungu.
Dk. Bilal, alitoa kauli hiyo mjini Dodoma jana, wakati akizungumza katika hafla ya kusimikwa kwa Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma, Beatus Kinyaiya.
Alisema kiongozi huyo, mbali na kuwa na hofu ya Mungu, lazima pia aweze kuongoza nchi bila kuwa na ubaguzi wa aina yoyote.
“Wakati tunapoelekea katika...
10 years ago
Habarileo08 Jul
‘Chagueni kiongozi mwenye hofu ya Mungu’
WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu, huku wakihakikisha wanamchagua kiongozi atakayeweza kuzisimamia vizuri rasilimali za taifa kwa manufaa ya watu wote.
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Kauli ya Rais wa Tanzania, John Magufuli inawaondolea hofu watanzania?
5 years ago
Michuzi
RAIS MAGUFULI NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU AMBAYO TUMEPEWA WATANZANIA-MBUNGE CCM

MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Amina Mollel (CCM) amelieleza Bunge kuwa Rais Dkt.John Magufuli ni zawadi tuliyopewa na Mungu, hivyo kikubwa ni kuendelea kumuombea awe na maisha marefu zaidi.
Mollel amesema hayo wakati wa vikao vya Bunge vinavyoendelea Bungeni Mjini Dodoma ambapo wabunge walipata nafasi ya kujadili maazimio mawili, Azimio la kwanza ni kumpongeza Rais Magufuli na azimio la pili ni kumpongeza Spika wa Bunge Job Ndugai.
Akieleza zaidi mbele ya...
5 years ago
CCM Blog
RAIS MAGUFULI NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU AMBAYO TUMEPEWA WATANZANIA-MBUNGE CCM

MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Amina Mollel (CCM) amelieleza Bunge kuwa Rais Dkt.John Magufuli ni zawadi tuliyopewa na Mungu, hivyo kikubwa ni kuendelea kumuombea awe na maisha marefu zaidi.
Mollel amesema hayo wakati wa vikao vya Bunge vinavyoendelea Bungeni Mjini Dodoma ambapo wabunge walipata nafasi ya kujadili maazimio mawili, Azimio la kwanza ni kumpongeza Rais Magufuli na azimio la pili ni kumpongeza Spika wa Bunge Job Ndugai.
Akieleza zaidi mbele ya...
5 years ago
Michuzi
RAIS MAGUFULI:WATANZANIA OONDOENI HOFU KUHUSU CORONA, ENDELEENI KUCHAPA KAZI

*Awahakikishia watumishi wote wa umma kuendelea kulipwa mishahara yao
RAIS Dk.John Magufuli tangu tanga la Coroa limeibuka kila nchi inao utaratibu wake wa kushughulika na tatizo hilo na kwa Watanzania hakuna sababu ya kuwa na hofu yoyote na waendelee kuchapa kazi.
Ametumia nafasi hiyo kuwahakikisha watumishi wote wa umma wakiwemo walimu ambao ndio wengi zaidi kuwa Serikali itaendelea kuwalipa mshahara hadi shule zitakapofunguliwa ingawa kuna nchi nyingine zimeshindwa kulipa mishahara...
5 years ago
CCM Blog
KANISA LAINGIA KATIKA IBADA YA SIKU TISA KUMUOMBA MUNGU AMFICHE RAIS DK. MAGUFULI DHIDI YA WAOVU

Kanisa la Halisi la Mungu Baba lililopo Tegeta jijini Dar es Salaam, limeingia katika ibada ya siku tisa kumuombea Rais Dk. John Magufuli, Mungu amfiche ili waovu wasimdhuru na ampe maisha marefu ili endelee kuwatumikia Watanzania kwa hekima, busara na maarifa.
Akizungumza jana katika ibada hiyo ambayo ilianza siku sita zilizopita, Kiongozi wa Kanisa hilo anayejulikana kwa jina la Baba wa Uzao aliwaambia waumini kwamba Kanisa limechukua hatua ya kumuombea...
11 years ago
Habarileo23 Oct
'Askofu muwe na hofu ya Mungu'
VIONGOZI wa Serikali nchini wameaswa kuwa na hofu ya Mungu wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku katika kuwaletea maendeleo wananchi na kwamba kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa hapa nchini viongozi wanaohitajika ni wale wenye kiu na njaa ya usawa na haki katika matumizi ya rasilimali.
5 years ago
CCM Blog
RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAOMBA WATANZANIA KUTUMIA SIKU 3 KUMUOMBA MUNGU ATUEPUSHE NA JANGA LA CORONA

