MAHAFALI YA NNE SHULE YA SEKONDARI LOUIS MONTFORT, YOMBO, DAR ES SALAAM, NOV 21, 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-z605gCUAg1I/VlMGqh4uu5I/AAAAAAAIH_c/6vZJGKDQME0/s72-c/Maleta%2Bspeech1.jpg)
Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, (TAA), ambaye pia anashughulikia Mahusiano, Ramadhan Maleta, (Kulia), akitoa hotuba wakati wa mahafali ya nne ya Shule ya Sekondari Louis Montfort, iliyoko Yombo jijini Dar es Salaam Novemba 21, 2015. Maleta ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, alisema TAA inafarijika sana kushirikiana na jamii iliyo jirani na viwanja vyake vya ndege kote nchini na kwamba itasaidia kutatua baadhi ya changamoto zinazoikabili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZjnTJ4kAFlY/VIWIW_vGVTI/AAAAAAACwGE/MVpEYQlP4ug/s72-c/IMG-20141207-WA0006.jpg)
mahafali ya shule ya sekondari Twayyibat kidato cha nne yafanyika temeke jijini dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZjnTJ4kAFlY/VIWIW_vGVTI/AAAAAAACwGE/MVpEYQlP4ug/s1600/IMG-20141207-WA0006.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-F7-nUks-Px4/VIWIYqgHT7I/AAAAAAACwGM/JnNywPLEdSY/s1600/IMG-20141207-WA0011.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-aeRtHEnXSSU/VEpfWnPEw7I/AAAAAAAGtLE/3-POLaBKhMc/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-10-24%2Bat%2B5.08.43%2BPM.png)
10 years ago
MichuziMAHAFALI KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI EDEN GARDEN EDUCATION TRUST
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-0tCD7jWaICQ/VEt2EVZBZuI/AAAAAAAGtRc/elPxLu9DFIA/s72-c/mgeni%2Brasmi2.jpg)
MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE NA DARASA LA SABA SHULE YA SEKONDARI MWILAMVYA KASULU KIGOMA
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Jenista Muhaga wakati wa mahafali ya kidato cha nne na darasa la saba wa shule ya sekondari ya Mwilayamvya medium iliyopo Wilayani Kasulu Mkoani...
10 years ago
Dewji Blog24 Oct
Mahafali ya Kidato cha nne shule ya sekondari WAMA-NAKAYAMA kufanyika jumapili hii
TANGAZO- MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE WAMA NAKAYAMA2.pdf by moblog
9 years ago
MichuziMAHAFALI YA NANE YA KIDATO CHA NNE KATIKA SHULE YA SEKONDARI REBU ILIYOPO TARIME YAFANA
9 years ago
VijimamboMAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI INAYOMILIKIWA NA JESHI LA MAGEREZA YAFANA MKOANI PWANI
9 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(pichani) kesho Oktoba 16, 2015 anatarajia kuwa Mgeni rasmi kwenye sherehe za Mahafali ya kumi na mbili ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Bwawani iliyopo Mkoa wa Pwani.
Kwa mujibu wa Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa leo Jijini Dar es Salaam na kusainiwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja inasema jumla ya Wanafunzi 95 wa Shule hiyo wanatarajia...
9 years ago
VijimamboMAHAFALI YA 14 YA KIDATO CHA NNE MKOLANI SEKONDARI JIJINI MWANZA YAFANA.