Mahfali ya 26 ya chuo Kikuu Huria cha Tanzania yafana
![](http://3.bp.blogspot.com/-NlwzCpL50-Q/VHt6rS4xlEI/AAAAAAAG0aM/c_z8YcAH5G0/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
Na Othman Khamis Ame Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewahimiza Watanzania kuitumia fursa inayotolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania { CKHT } katika kujipatia Taaluma huku wakiendelea na shughuli zao za kazi,ajira binafsi au kifamilia kama kawaida. Alisema wakati chuo hicho cha umma kinapotoa nafasi nzuri zaidi kwa Watanzania kupanua wigo wao wa elimu ya juu ni vizuri kwa wananchi kuitumia nafasi hiyo mapema...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yafana Rwanda
Na Mwandishi Wetu
CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kimefanya mahafali yake ya 28 katika kituo cha uendeshaji kilichopo mjini Kibungo, Wilaya ya Ngoma nchini Rwanda.
Mahafali hayo yaliyofanyika Machi 20, mwaka huu yalihudhuriwa na wageni mbalimbali akiwamo Mkuu wa chuo hicho, Dk. Asha-Rose Migiro ambaye aliwatunuku wahitimu shahada mbalimbali.
Mahafali hayo yaliyohusisha wahitimu 25 wa shahada za uzamili, yamekuja baada ya kufanyika kwa mahafali ya 26 Novemba mwaka jana, Kibaha mkoani...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PitegS6w8tU/VH9AWkVBbOI/AAAAAAAG1Do/AGBzYfeMykk/s72-c/unnamed%2B(28).jpg)
wapiganaji walamba nondozzz Chuo kikuu huria cha Tanzania (OUT)
11 years ago
MichuziJESHI LA MAGEREZA KUINGIA USHIRIKIANO RASMI NA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA
9 years ago
Dewji Blog22 Aug
Wasichana 22 waliokuwa katika mazingira magumu wahitimu Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno fupi kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo hayo katika chuo Kikuu Huria cha Tanzania, jijini Dar es salaam
Na erasto Ching’oro
Wasichana 22 kutoka mazingira hatarishi wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, ususi wa nywele na urembo katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-VorldjKjfXE/Vdc6U3Y99zI/AAAAAAAHy6c/rh8bE6xAHRc/s72-c/P1.png)
Dkt. Pindi Chana mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-VorldjKjfXE/Vdc6U3Y99zI/AAAAAAAHy6c/rh8bE6xAHRc/s640/P1.png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ajFaiMIeGWM/Vdc6VMkgbNI/AAAAAAAHy6o/J0pifgF4Skc/s640/P2.png)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-rMgwFtBQ00g/VIRZWNvqDlI/AAAAAAAA-nk/E9LAyTMNX10/s72-c/MKUU%2BWA%2BCHUO.jpg)
MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-rMgwFtBQ00g/VIRZWNvqDlI/AAAAAAAA-nk/E9LAyTMNX10/s1600/MKUU%2BWA%2BCHUO.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-qhFLeolf9sM/VIRZU27nLGI/AAAAAAAA-ng/hywKAl8CAAY/s1600/MGENI%2BRASMI.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Yf6rqYv4Pdo/VIRZUn4RaxI/AAAAAAAA-nY/QmoC9lkndoU/s1600/MKUU%2BWA%2BSKULI.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-v5t-DEMmAVw/VIRZYEOJ5yI/AAAAAAAA-nw/SS7KNrcdkNg/s1600/KIAPO%2BCHA%2BWAUGUZI.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0IWRN94b_NA/VHs-MB16YOI/AAAAAAAG0Vs/mesmgXffWrY/s72-c/752.jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi awahimiza Watanzania kuitumia fursa inayotolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
![](http://2.bp.blogspot.com/-0IWRN94b_NA/VHs-MB16YOI/AAAAAAAG0Vs/mesmgXffWrY/s1600/752.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-x5T9Lo-Az6M/VHs-M-gOSMI/AAAAAAAG0V4/8npH6P5ZkGI/s1600/770.jpg)