Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahojiano na waandaaji wa SWAHILI FESTIVAL Marekani

Patric Kajale. Mmoja wa waandaaji wa Tamasha hilo.
PHOTO CREDITS DMK Blog Karibu katika mahojiano kati ya Mubelwa Bandio na waandaaji wa SWAHILI FESTIVAL iliyofanyika Sept 21 jijini Bladensburg, jimbo la Maryland nchini Marekani Karibu.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SWAHILI FESTIVAL YAFANA

Mmoja wa waratibu wa Swahili Festial Patrick Kajale akiongea jambo siku ya Jumapili Sept 21, 2014 kwenye Swahili Festiava Picnic iliyowajumuisha wadau wa Afrika MasharikiWadau waliohudhuria Swahili Festival wakibadilishana mawili matatu kati ni makamu wa Rais DMV Bi. Harriet Shangarai na DKM kulia.Mmoja wa walimbwende wa mitindo akipata picha kabla ya kupanda jukwaani kuonyesha mitindo mbalimbali kutoka kwa wabunifu waliobobea kwenye fani hiyo akiwemo Missy T wa Kwetu fashions.Makamu wa Rais...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA KISWAHILI (SWAHILI FEST) LILILOFANYIKA NCHINI MAREKANI NDANI YA WASHINGTON DC LAFUNIKA !

Kwa mara ya Kwanza kabisa nchini marekani limefanyika Tamasha la Kiswahili katika jiji la Washington,likijumuisha nchi zote za Afrika Mashariki na kati zinazozungumza lugha ya kiswahili.Tamasha hili liliandaliwa ili kuweza kutangaza tamaduni za Afrika Mashariki ikiwa ni pamoja na Chakula,Mavazi,Ngoma za Asili,Miziki ya Kizazi Kipya,na mambo mbali mbali ya kiasilia.Waandaaji wa Tamasha la Kiswahili Washington DC Ndugu Patrick Kajale na Dada Finiana wakijadili jambo na ndugu Safari ambaye...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA KISWAHILI (SWAHILI FEST) LILILOFANYIKA NCHINI MAREKANI NDANI YA WASHINGTON DC LAFUNIKA !‏

Waandaaji wa Tamasha la Kiswahili Washington DC Ndugu Patrick Kajale na Dada Finiana wakijadili jambo na ndugu Safari ambaye ndiye Mtunzi wa kile kitabu Nambari moja Amazon cha Nyayo za Obama. Ndugu Safari Akionyesha Kitabu cha Obama…

 

10 years ago

Vijimambo

5 years ago

BBC

Amani Festival: The DR Congo music festival celebrating life

Organisers of the Amani Festival want to show a different side of the Democratic Republic of Congo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani