Mahojiano na washiriki wa maonyesho ya Utamaduni wa Kenya hapa Washington DC
![](http://4.bp.blogspot.com/-SVnhQRl7f_s/U8MpNw8KauI/AAAAAAAAHNA/yjxs_y3Uczw/s72-c/Kenya+mambo+Poa.jpg)
Kati ya Juni 25 na Julai 6, jiji la Washington DC lilikuwa mwenyeji wa maonyesho ya kila mwaka ya yanayohusu maisha a watu na jamii mbalimbali.Mwaka huu, nchi ya Kenya ilishirikishwa, wakionyesha utamaduni wao na changamoto za kuzidumisha katika zama hizi za sayansi na teknolojia.Kwanza Production ilipata fursa ya kutembelea maonyesho hayo na kuzungumza na baadhi ya washiriki wa maonyesho hayo ambapo walieleza mengi ya kufurahisha.KARIBU UUNGANE NASI
Zaidi ya washiriki 100 kutoka nchini Kenya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7Px9tx2VPWY/VHJd-J0_F6I/AAAAAAAGzCQ/VAKbs6IFoo8/s72-c/unnamed%2B(62).jpg)
WANAFUNZI WA KITANZANIA WUHAN CHINA WASHIRIKI MAONESHO YA UTAMADUNI
![](http://3.bp.blogspot.com/-7Px9tx2VPWY/VHJd-J0_F6I/AAAAAAAGzCQ/VAKbs6IFoo8/s1600/unnamed%2B(62).jpg)
10 years ago
MichuziMahojiano na Charles Magali ndani ya Washington DMV
9 years ago
Dewji Blog11 Sep
Ratiba ya maonyesho -Tamasha la 34 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo 2015!
Tamasha la 34 la Sanaa za Maonyesho na Utamaduni Bagamoyo…
Sehemu ya umati wa watu wanaojitokeza kushuhudia tamasha hilo…
RATIBA YA TAMASHA – PROGRAM.pdf
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/_w5UkvLmH4Q/default.jpg)
VOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA WASHINGTON, DC
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/dQZgH-n4K_o/default.jpg)
10 years ago
MichuziNHIF WASHIRIKI MAONYESHO YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog13 Oct
VOA Africa 54 yafanya mahojiano na mama shujaa wa chakula jijini Washington DC
Kushoto ni Mtangazaji Voice of America wa Africa 54 Linord Moudou akiwa na Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa Tatu Bahati Muliga na Meneja Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona wakihojiwa kuhusiana na Shindano la Mama shujaa wa chakula na Jinsi linavyo wasaidia wakulima hasa wanawake.
Bahati Muliga (Kushoto) Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa tatu, shindano linaloandaliwa na Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow ambapo kauli mbiu yao ni Wekeza kwa Wakulima wadogo wadogo...
10 years ago
VijimamboWashiriki wa maonyesho ya kimataifa ya sanaa wakutana na Balozi wa Tanzania nchini Oman
9 years ago
VijimamboWASHIRIKI WA MAFUNZO YA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI WA MIRADI WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
usimamizi wa miradi ya ushirikiano kwa njia ya Public Private Partneship hasa sekta ya nishati na madini walipofika kutembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC .