Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahojiano ya BBC na Obama

BBC imepata fursa ya kufanya mahojiano ya kipekee ya ana kwa ana na rais Barack Obama.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MKALI WA YOUTUBE GLOZELL LYNETTE ALIVYOPAGAWA KUMFANYIA MAHOJIANO RAIS OBAMA

GloZell Lynette Simon akiwa kazini. GloZell baada ya kupata taarifa za kumfanyia mahojiano Rais Obama. MKALI wa Youtube na komedi, GloZell Lynette Simon, hivi karibuni alipagawa baada ya kuambiwa kuwa atamfanyia mahojiano Rais wa Marekani, Barrack Obama. GloZell ambaye ni raia wa Marekani mwenye umri wa miaka 52, amejipatia umaarufu sana kupitia kwenye kazi yake ya komediani na kupitia video zake kwenye mtandao wa Youtube...

 

10 years ago

BBCSwahili

OBAMA:BBC Pop up yawasili Kenya

Kipindi cha BBC Pop up tayari kimewasili katika jiji la Nairobi nchini Kenya ili kuangazia baadhi ya taarifa za maandalizi na shamra shamra za kuwasili kwa rais Obama wa Marekani.

 

10 years ago

BBC

VIDEO: Kenyans react to Obama's BBC interview

BBC Pop Up, currently in Kenya, spoke to residents of Nairobi about their reaction to Mr Obama's remarks on gay rights.

 

10 years ago

BBCSwahili

Unamfahamu dadake rais Obama,Auma Obama?

Je ulimwona rais Obama akimkumbatia mwanamke aliyekuwa mwisho kabisa katika foleni ya wale waliomkaribisha Kenya ijumaa usiku

 

10 years ago

Bongo5

Ujio wa Obama nchini Kenya waacha historia, watoto waliozaliwa siku aliyowasili waitwa Barack Obama na wengine ‘AirForceOne’

Ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama umeacha historia ya mambo mengi kwa wananchi wa Kenya. Baadhi ya wazazi wa watoto waliozaliwa siku ambayo Obama alitua nchini Kenya Ijumaa ya July 24, wamewapa watoto wao majina yanayohusiana na Rais huyo. Mzazi mmoja aliyejifungua mtoto wa kiume siku hiyo aliamua kumpa mtoto wake jina la Rais […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani