Mahojiano ya Idd Ligongo (Bicco) na Kwanza Production
Photo Credits: Idd's Facebook Page
Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Idd Ligongo Msanii na mwanahabari makini ambaye amezungumza mengi mema kuhusu Sanaa na Habari ya Tanzania. Amezungumzia historia yake katika fani hizi, ilipo na anapoiona ikielekeaNi kati ya mazungumzo ninayoamini utapata mengi ya kujifunza. KARIBU UNGANE NASI
Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa barua pepe kwanzaproduction@gmail.com
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Mahojiano na Kwanza Production na NURU THE LIGHT

11 years ago
Michuzi
Mahojiano ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan

Amezungumza mengi kuhusu ziara yake ya Ulaya iliyoanza mwezi wa nne, maonyesho aliyofanya, kazi alizorekodi na pia watu aliowashirikisha kwenye albamu yake mpya ijayo.
Amezungumzia IMANI ya RASTA na pia MUZIKI WA TANZANIA kwa ujumlaAmeongea mengi memaKARIBU UJIUNGE NASI
11 years ago
Michuzi
Mahojiano ya Kwanza Production na Fabian Lwamba wa Krystaal

Karibu kwenye mahojiano kati ya Kwanza Production na Fabian LwambaMmoja wa ndugu watatu wanaounda kundi la KRYSTAAL ambao walizaliwa kwenye familia iliyojiweza, lakini mgogoro wa kisiasa ukawafanya waikimbie Zaire na kutengana.

Walikuja kuungana Canada ambako kwa miaka 16 wamekuwa pamoja kama kundi la muziki wa injili. Amezungumza pia mkanganyiko wa IMANI na TAMADUNI zetu. Swali.... Ni upi...
11 years ago
Michuzi
Mahojiano ya Dekula Kahanga "Vumbi" na Kwanza Production

11 years ago
Michuzi
Kwanza Production yafanya Mahojiano ya Mwanalibeneke Maggid Mjengwa

Karibu katika mahojiano mwanahabari makini na wa muda mrefu ambaye pia ni mmiliki wa Kwanza Jamii, Maggid Mjengwa na Mubelwa Bandio wa Kwanza Production. Amegusia mambo mbalimbali kama masuala ya uandishi, siasa (kama mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba) na mwenendo mzima wa nchi ya Tanzania. Huu ni mfululizo wa mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu masuala tofauti yaliyo muhimu kwa mustakabali wa nchi za Afrika Mashariki Karibu Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa...
11 years ago
Michuzi
Mahojiano ya Kwanza Production na Diamond Platnumz baada ya tuzo za BET

Photo Credits: DMK Global Promotions' facebook page
Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Damond Platnumz. Msanii mwenye mafanikio makubwa kutoka nchini TanzaniaAmejiunga nasi kwa njia ya simu punde baada ya kuhudhuria utoaji tuzo za BET ambako yeye alikuwa mmoja wa waliokuwa wakiwania tuzo hizo.Kazungumza mengi kuhusu TUZO HIZO.Alipopokea na alivyopokea uteuzi wake, aliloliona kwenye tuzo hizo, ulinganishaji wake katika...
10 years ago
Michuzi
HUYU NA YULE YA KWANZA PRODUCTION NA VIJIMAMBO: Mahojiano na Dr Crispin Semakula

Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza ProductionKwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali...
11 years ago
Michuzi
Mahojiano ya Kwanza Production na Haika Lawere. Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel

Kwa maoni ama ushauri usisite...
10 years ago
Michuzi
Kipindi cha JUKWAA LANGU na Kwanza Production

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania