Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahojiano ya Kwanza Production na Haika Lawere. Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel

Haika Lawere akizungumza na wanawake kwenye tukio la wanawake waTanzania Washington DC Photo Credits: IskaJojo Studios  Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Haika Lawere. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel ya Dar Es Salaam Tanzania. Amezungumzia mengi kuhusu maisha yake, kazi yake, changamoto anazokumbana nazo katika kazi, ziaa yake hapa Marekani na hata ushauri wake kwa wasikilizaji Amezungumza mengi mema Karibu uungane nasi
Kwa maoni ama ushauri usisite...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SANAA FASHION SHOW KUFANYIKA KESHO NDANI YA UKUMBI WA MBEZI GARDEN HOTEL

image4Na Andrew Chale, modewjiblog(Dar es Salaam)-Ile shoo kubwa yamaonyesho ya mavazi ubunifu ya Tanzania katika kuibua vipaji vya wanamitindo chipukizi na models lililoandaliwa na kampuni ya Crown River Fame likijulikana kama Sanaa Fashion Show, linatarajia kufanyika Ijumaa hii ya Agosti 28, ndani ya ukumbi wa Mbezi Garden Hotel, ambapo pia kutakuwa na shoo kabambe kutoka kwa msanii wa THT, Msami.
Akizungumza na mtandao huu Meneja Mradi wa Crown River Fame, Mr. Rahul anasema tayari taratibu...

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano na Kwanza Production na NURU THE LIGHT

Photo Credits: Bongo Celebrity Karibu katika mahojiano kamini kati ya Kwanza Production na NURU THE LIGHT. Msanii, Mjasiriamali, Mtangazaji, Blogger na Mwanaharakati ambaye amekuwa mkarimu sana kujiunga nasi moja kwa moja kutoka Stockholm Sweden Kazungumza mengi ikiwa ni pamoja na alivyoanza muziki Kisha akagusia kuhusu onyesho lake la kwanza kabisa jukwaani. Na kama nilivyokuja kumtambua, ni mtu mwenye misimamo na anayejitambua, utamsikia msimamo wake awapo studio Nikataka kujua pia, nini...

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano ya Kwanza Production na Fabian Lwamba wa Krystaal

Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akimhoji Fabian Lwamba wa kundi la KRYSTAAL
Karibu kwenye mahojiano kati ya Kwanza Production na Fabian LwambaMmoja wa ndugu watatu wanaounda kundi la KRYSTAAL ambao walizaliwa kwenye familia iliyojiweza, lakini mgogoro wa kisiasa ukawafanya waikimbie Zaire na kutengana. Lwamba Brothers
Walikuja kuungana Canada ambako kwa miaka 16 wamekuwa pamoja kama kundi la muziki wa injili. Amezungumza pia mkanganyiko wa IMANI na TAMADUNI zetu. Swali.... Ni upi...

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano ya Idd Ligongo (Bicco) na Kwanza Production


Idd Photo Credits: Idd's Facebook Page  Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Idd Ligongo Msanii na mwanahabari makini ambaye amezungumza mengi mema kuhusu Sanaa na Habari ya Tanzania. Amezungumzia historia yake katika fani hizi, ilipo na anapoiona ikielekeaNi kati ya mazungumzo ninayoamini utapata mengi ya kujifunza. KARIBU UNGANE NASI Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa barua pepe kwanzaproduction@gmail.com

 

10 years ago

Michuzi

Mahojiano ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan

JhikoMan akitumbuiza kwenye Tamasha la Majahazi 2013Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan aliyejiunga nasi moja kwa moja kutoka Helsinki Finland mwishoni mwa mwezi Julai.
Amezungumza mengi kuhusu ziara yake ya Ulaya iliyoanza mwezi wa nne, maonyesho aliyofanya, kazi alizorekodi na pia watu aliowashirikisha kwenye albamu yake mpya ijayo.
Amezungumzia IMANI ya RASTA na pia MUZIKI WA TANZANIA kwa ujumlaAmeongea mengi memaKARIBU UJIUNGE NASI

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano ya Dekula Kahanga "Vumbi" na Kwanza Production

Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Dekula Kahanga "Vumbi" Vumbi ambaye anamiliki Dekula Band nchini Sweden. Amezungumzia mambo mengi ikiwa ni pamoja na uzinduzi wa albamu yake mpya ya Shujaa Mamadou Ndala iliyozinduliwa Aprili 23 na 24 mwaka huu  huko Sweden. Pia, ametoa ushauri kwa wasanii wa Afrika Mashariki wanaotaka kufanya muziki nchi za Scandinavia. KARIBU UUNGANE NASI Kwa maoni na ama ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia kwanzaproduction at gmail.com

 

11 years ago

Michuzi

Kwanza Production yafanya Mahojiano ya Mwanalibeneke Maggid Mjengwa

Maggid Mjengwa
Karibu katika mahojiano mwanahabari makini na wa muda mrefu ambaye pia ni mmiliki wa Kwanza Jamii, Maggid Mjengwa na Mubelwa Bandio wa Kwanza Production. Amegusia mambo mbalimbali kama masuala ya uandishi, siasa (kama mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba) na mwenendo mzima wa nchi ya Tanzania. Huu ni mfululizo wa mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu masuala tofauti yaliyo muhimu kwa mustakabali wa nchi za Afrika Mashariki Karibu Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano ya Kwanza Production na Diamond Platnumz baada ya tuzo za BET

Diamond Platnumz na DMK kwenye utoaji tuzo za BET Los Angeles
Photo Credits: DMK Global Promotions' facebook page
Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Damond Platnumz. Msanii mwenye mafanikio makubwa kutoka nchini TanzaniaAmejiunga nasi kwa njia ya simu punde baada ya kuhudhuria utoaji tuzo za BET ambako yeye alikuwa mmoja wa waliokuwa wakiwania tuzo hizo.Kazungumza mengi kuhusu TUZO HIZO.Alipopokea na alivyopokea uteuzi wake, aliloliona kwenye tuzo hizo, ulinganishaji wake katika...

 

10 years ago

Michuzi

HUYU NA YULE YA KWANZA PRODUCTION NA VIJIMAMBO: Mahojiano na Dr Crispin Semakula

Karibu katika kipindi cha HUYU NA YULE ambapo wiki hii tumeongea na Dr Crispin Semakla. Daktari wa mahgonjwa ya kisukari, shinikizo la damu na pia Mwalimu wa Afya katika Chuo Kikuu nchini Marekani. Pia ni mwanzilishi wa Access Medical and Dialysis Center iliyopo Dar Es SalaamAmeeleza mengi kuhusu maradhi anayoshughulika nayo na pia kituo chake.
Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza ProductionKwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani