Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahojiano ya Dekula Kahanga "Vumbi" na Kwanza Production

Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Dekula Kahanga "Vumbi" Vumbi ambaye anamiliki Dekula Band nchini Sweden. Amezungumzia mambo mengi ikiwa ni pamoja na uzinduzi wa albamu yake mpya ya Shujaa Mamadou Ndala iliyozinduliwa Aprili 23 na 24 mwaka huu  huko Sweden. Pia, ametoa ushauri kwa wasanii wa Afrika Mashariki wanaotaka kufanya muziki nchi za Scandinavia. KARIBU UUNGANE NASI Kwa maoni na ama ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia kwanzaproduction at gmail.com

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

DEKULA KAHANGA ‘VUMBI’: Baada ya msoto, sasa alia kivulini Sweden

DEKULA Kahanga ‘Vumbi’, Aprili 4, mwaka huu, alitimiza miaka 52 ya kuzaliwa kwake. Alizaliwa katika Kijiji cha Lumera, Wilaya ya Kivu, kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Ni...

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano na Kwanza Production na NURU THE LIGHT

Photo Credits: Bongo Celebrity Karibu katika mahojiano kamini kati ya Kwanza Production na NURU THE LIGHT. Msanii, Mjasiriamali, Mtangazaji, Blogger na Mwanaharakati ambaye amekuwa mkarimu sana kujiunga nasi moja kwa moja kutoka Stockholm Sweden Kazungumza mengi ikiwa ni pamoja na alivyoanza muziki Kisha akagusia kuhusu onyesho lake la kwanza kabisa jukwaani. Na kama nilivyokuja kumtambua, ni mtu mwenye misimamo na anayejitambua, utamsikia msimamo wake awapo studio Nikataka kujua pia, nini...

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan

JhikoMan akitumbuiza kwenye Tamasha la Majahazi 2013Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan aliyejiunga nasi moja kwa moja kutoka Helsinki Finland mwishoni mwa mwezi Julai.
Amezungumza mengi kuhusu ziara yake ya Ulaya iliyoanza mwezi wa nne, maonyesho aliyofanya, kazi alizorekodi na pia watu aliowashirikisha kwenye albamu yake mpya ijayo.
Amezungumzia IMANI ya RASTA na pia MUZIKI WA TANZANIA kwa ujumlaAmeongea mengi memaKARIBU UJIUNGE NASI

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano ya Kwanza Production na Fabian Lwamba wa Krystaal

Mubelwa Bandio wa Kwanza Production akimhoji Fabian Lwamba wa kundi la KRYSTAAL
Karibu kwenye mahojiano kati ya Kwanza Production na Fabian LwambaMmoja wa ndugu watatu wanaounda kundi la KRYSTAAL ambao walizaliwa kwenye familia iliyojiweza, lakini mgogoro wa kisiasa ukawafanya waikimbie Zaire na kutengana. Lwamba Brothers
Walikuja kuungana Canada ambako kwa miaka 16 wamekuwa pamoja kama kundi la muziki wa injili. Amezungumza pia mkanganyiko wa IMANI na TAMADUNI zetu. Swali.... Ni upi...

 

11 years ago

Michuzi

Mahojiano ya Idd Ligongo (Bicco) na Kwanza Production


Idd Photo Credits: Idd's Facebook Page  Karibu katika mahojiano ya Kwanza Production na Idd Ligongo Msanii na mwanahabari makini ambaye amezungumza mengi mema kuhusu Sanaa na Habari ya Tanzania. Amezungumzia historia yake katika fani hizi, ilipo na anapoiona ikielekeaNi kati ya mazungumzo ninayoamini utapata mengi ya kujifunza. KARIBU UNGANE NASI Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa barua pepe kwanzaproduction@gmail.com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani