Mahujaji wa TZ waliofariki wafikia 22
Idadi ya raia wa Tanzania waliofariki katika mkanyagano wakiwa katika ibada ya Hajj nchini Saudi Arabia mwezi uliopita imeongezeka na kufikia 22
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Mahujaji 769 waliofariki wamezikwa
9 years ago
Habarileo08 Oct
Mahujaji waliofia Makka wafikia 11
SERIKALI imepokea majina matatu ya mahujaji wengine wa Tanzania, waliokufa kutokana na tukio la kukanyagana lililotokea eneo la Mina, katika mji Mtakatifu wa Makka, Saudia Arabia Septemba 24, mwaka huu, hivyo kufanya idadi ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha nchini humo kufikia 11.
10 years ago
BBCSwahili27 Sep
WHO: Waliofariki na Ebola wafikia 3000
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Waliofariki ajali ya bomu wafikia wanne
MAJERUHI Regina Mzakule (66) amefariki dunia na kufanya idadi ya waliokufa katika tukio la bomu la kutupa kwa mkono ndani ya gari la abiria wilayani Buhigwe, Kigoma kufikia wanne. Bomu...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sW88-RkUXxs/VgU-to7NT5I/AAAAAAAH7J0/xD07iJI-XuI/s72-c/images.jpg)
TAARIFA KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI NA KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-sW88-RkUXxs/VgU-to7NT5I/AAAAAAAH7J0/xD07iJI-XuI/s200/images.jpg)
Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600
20 KIVUKONI FRONT, P.O. BOX 9000, 11466 DAR ES SALAAM, Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4Panb00Exfo/Vk8f6CbQfTI/AAAAAAAIHJo/QcfuU32qT30/s72-c/New%2BPicture.png)
TAARIFA ZAIDI KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI AU KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-4Panb00Exfo/Vk8f6CbQfTI/AAAAAAAIHJo/QcfuU32qT30/s1600/New%2BPicture.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAARIFA ZAIDI KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI AU KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA
Mahujaji wengine wane (4) kutoka Tanzania ambao walikuwa miongoni mwa wale waliokuwa hawaonekani tangu ajali ya kukanyagana kwa mahujaji ilipotokea Makkah nchini Saudi Arabia tarehe 24 Septemba 2015 wametambuliwa kuwa, ni miongoni mwa mahujaji waliofariki dunia. Kutambuliwa kwa mahujaji hao...
9 years ago
Dewji Blog29 Sep
Taarifa zaidi kuhusu Mahujaji kutoka Tanzania waliofariki na kujeruhiwa huko Saudi Arabia
![](http://3.bp.blogspot.com/-z_ZpGGFueAI/Vgmm_RxyyGI/AAAAAAAAijo/-iRytu7Purc/s640/Ministry%2527s%2BHeader%2BFinal.jpg)
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kupitia Ubalozi wake mjini Riyadh, Saudi Arabia imepokea taarifa kuwa hadi kufikia tarehe 27 Septemba, 2015 watu waliopoteza maisha kufuatia tukio la mkanyagano (stampede) wa Mahujaji waliokuwa wakielekea Jamarat kutupa vijiwe huko Mina nje kidogo ya mji wa Makkah, lililotokea siku ya Alhamisi tarehe 24 Septemba,...
10 years ago
GPLVIFO INDIA: IDADI YA WALIOFARIKI KWA POMBE YENYE SUMU WAFIKIA 90
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-sW88-RkUXxs/VgU-to7NT5I/AAAAAAAH7J0/xD07iJI-XuI/s72-c/images.jpg)
TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI NA KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-sW88-RkUXxs/VgU-to7NT5I/AAAAAAAH7J0/xD07iJI-XuI/s200/images.jpg)
Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi: 255-22-2116600
20 KIVUKONI FRONT, P.O. BOX 9000, 11466 DAR ES SALAAM, Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea kwa...