Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAINDA AWAJIBU WANAOHOJI ULOKOLE WAKE

Stori: Gabriel Ng’osha Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’  amefunguka kuwa kwa sasa hatakubali tena kusumbuliwa na wanaohoji juu ya maisha yake mapya ya wokovu. Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’. Akizungumza na paparazi wetu, Mainda alisema mwanzoni alikuwa anapata shida sana kuishi na watu kwani yeye kama msanii kila anachofanya watu wanachukulia ndivyo sivyo na hata katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

LULU AWACHARUKIA WANAOHOJI GHARAMA ZA UREMBO WAKE

Imelda mtema
STAA asiyekaukiwa matukio Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacharukia watu wanaohoji kwa nini anapendeza angali mwanafunzi kwa kuwaambia, ‘kwani akiwa mwanafunzi ni mwiko kupendeza?’ Staa asiyekaukiwa matukio Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Lulu alisema amekuwa akiona maoni ya watu wengi mtandaoni wakihoji anapata wapi fedha za...

 

10 years ago

GPL

FAIZA ALLY AWAJIBU WANAOULIZA KUHUSU UHUSIANO WAKE NA MHE. SUGU

Picha aliyoweka Faiza Ally Instagram ya Mhe. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ akiwa katika pozi na mwanaye Sasha. MSANII wa filamu Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, leo amewatolea uvuvi watu waliokuwa wakijiuliza maswali kuhusu mwanaye Sasha na na baba yake. Baada ya kuweka picha ya Sugu na mwanaye, Faiza Ally aliandika haya. Kupita akaunti yake ya Instagram, Faiza ameweka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wanaohoji fulana za Lowassa washamba’

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Talib Ali Talib, amesema wanachama na viongozi wanaohoji Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kutengenezewa fulana zenye picha yake na ujumbe wa...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete awajibu walimu

Moja ya mabango yaliyobebwa na walimu wakipita mbele ya Rais Jakaya Kikwete yakiwa na ujumbe ambao Rais aliujibu katika hotuba yake.RAIS Jakaya Kikwete amewajibu walimu kuwa katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake amefanya kazi ya uboreshaji maslahi yao na kuahidi kumaliza madai yao yote kabla hajang’atuka madarakani Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Akon awajibu wanamuziki wa Kenya

Akon amesema kuwa hakuna hata mwanamuziki mmoja wa Kenya ambaye amemuomba kufanya naye kushirikiana naye[kolabo}

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza Ally (Ex wa Mheshimiwa), awajibu Wambea

Staa wa Bongo Movie, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, leo amewatolea uvuvi watu waliokuwa wakijiuliza maswali kuhusu mwanaye Sasha na na baba yake.

Kupita akaunti yake ya Instagram, Faiza ameweka picha na Mhe. Sugu akiwa na mwanaye Sasha na kuandika kuwa "Mara nyingi huwa nawapiga picha mimi mwenyewe sema tu sipendi sana kurusha kwangu"

Na kwa wale waliokuwa wanauliza maswali juu yao, Faiza amewajibu hivi: "Ni kweli kuna wakati tulikuwa hatuelewani...

 

9 years ago

Mtanzania

Hassan Rehani awajibu walioikimbia Twanga Pepeta

dogoNA MWALI IBRAHIM

BAADA ya baadhi ya wanamuziki wa bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Ramadhani Athumani na Salehe Kupaza kueleza sababu iliyowafanya waikimbie bendi hiyo na kuhamia Double M Sound Plus ni maslai na madeni yao wanayoidai Twanga Pepeta, meneja wa bendi hiyo, Hassan Rehani, ameibuka na kukana madai hayo.

Wanamuziki hao tayari wameshatambulishwa rasmi kwenye bendi ya Double M Sound Plus iliyopo chini ya Mwinjuma Muumini ‘Kocha wa Dunia’, wamedaiwa kutumia maneno ya kudai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani