MAISHA YA UTEJA YA RAY C HADHARANI

MSANII mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ atayaweka hadharani maisha yake ya utumiaji wa madawa ya kulevya baada ya kumpata mfadhili kutoka Ujerumani ambaye atarekodi historia yake katika mkanda wa video. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1LzMMUA
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
RAY, CHUCHU HANS WAONESHANA MAHABA HADHARANI!
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Ray Awapa Makavu Wanaofatilia Maisha ya Watu Insta

Ray
Ray ameandika haya kwenye ukurasa wake Instagram.
“Kijana mwenzangu mwaka ndio huo unaisha inama tafakari nini ulichokifanya mwaka huu,je ulichokipanga kimefanikiwa kwa asilimia ngapi au kazi yako ilikuwa nikuangaika na maisha ya watu kwenye insta?
Wenzako wanapiga hatua kumi mbele wewe unapiga hatua kumi nyuma. ujachelewa achana na maisha ya watu pambana na maisha yako ..(life is all about the money.)”
Nadhani Ujumbe umefika.
10 years ago
Bongo Movies15 Feb
Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!
“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.
Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.
Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...
10 years ago
Habarileo01 Oct
Yanga yamaliza uteja
YANGA imezidi kujikita kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwa mabao 2-0, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa.
11 years ago
GPL
CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU
10 years ago
Mwananchi27 Sep
Tambwe, Busungu wafuta uteja
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Pluijm achoka na uteja Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Der Pluijm, amesema kama ataendelea kukinoa kikosi hicho, anaamini atafuta uteja wa kufungwa na watani wao wa jadi, Simba, ambao mara yao ya mwisho kuwafunga katika ligi ilikuwa msimu wa 2012/ 2013.
Yanga, ikiwa inanolewa na kocha Mholanzi, Ernest Brandts, iliibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Simba Mei 19, 2013, huku Wanajangwani hao wakiweza kuibuka mabingwa wa msimu huo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, baada ya kufungwa bao...
11 years ago
Mwananchi21 Oct
Real kufuta uteja kwa Liverpool