Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe, Busungu wafuta uteja

Ngoma ya kitoto siku zote haikeshi! Ndivyo, unavyoweza kueleza mchezo wa jana baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Pluijm awafagilia Tambwe, Busungu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Pluijm, amewakingia kifua washambuliaji wa timu hiyo, Amis Tambwe na Malimi Busungu na kusema kwamba hajali kama hawajafunga kwenye mechi za karibuni.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wafuta mkutano wa CUF

POLISI katika Mkoa wa Kaskazini Unguja wamezuia mkutano wa hadhara wa Chama cha Wananchi (CUF) ambao ulikuwa ufanyike katika Jimbo la Kitope kwa maelezo kuwa haukupata kibali cha jeshi hilo.

 

10 years ago

GPL

Busungu asaini Yanga

Malimi Busungu akisaini mkataba na timu ya Yanga.
Sweetbert Lukonge na Said Ally
YANGA haitaki masihara hata kidogo linapokuja suala la kukiongezea nguvu kikosi chake! Licha ya vijana hao wa Jangwani kuongoza kwa kufunga mabao 52 katika michezo 26 ya Ligi Kuu Bara msimu uliopita, imeamua kumuongeza mchana nyavu mwingine, anaitwa Malimi Busungu ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili akitokea Mgambo JKT. Yanga imeizidi nguvu...

 

10 years ago

Dewji Blog

ICC wafuta mashitaka dhidi ya Kenyatta

President-Uhuru-Kenyatta

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.

Mahakama ya Kimataifa ya ICC imetupilia mbali kesi ya jinai iliyokua inamkabili Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta kutokana na kutokamilika kwa ushahidi.

Mwendesha mkuu wa mashitaka  Fatou Bensouda ameondoa kesi dhidi ya Kenyatta ambaye alidaiwa kutenda uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa ghasia baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya.

Katika Taarifa iliyotolewa na mahakama hiyo iliyopo nchini Uholanzi imesema kesi yake haikua na ushahidi wa kutosha wa Kenyatta kuhusika...

 

10 years ago

GPL

WALIOZAA NA NAY WAFUTA BIFU LAO

Musa Mateja/Ijumaa
Mabinti wawili waliozaa na msanii wa muziki, Emmanuel Elbarik ‘Nay wa Mitego’, Siwema na Skyna Ally ambao awali ilidaiwa walikuwa na bifu zito, sasa wameamua kuwa mashosti.Ijumaa hivi karibuni liliwanasa wawili hao kwenye Ukumbi wa Escape One, Msasani jijini Dar wakiwa beneti kama mtu na mke mwenza na lilipotaka kuzungumza nao wote walichenga na kutaka waachwe. Mrembo aliyezaa na msanii wa...

 

9 years ago

Habarileo

Maguri, Busungu waitwa Stars

WASHAMBULIAJI Elias Maguri wa Stand United ya Shinyanga na Malimi Busungu wa Yanga, wameongezwa katika kikosi cha timu ya soka ya Taifa ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini Oman kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria mwezi ujao.

 

9 years ago

Habarileo

Busungu ajipongeza kuitwa Stars

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Malimi Busungu amesema juhudi zake ndizo zilizofanikisha kutimia kwa ndoto zake za siku nyingi za kuitwa kuichezea timu ya taifa, Taifa Stars.

 

9 years ago

Habarileo

‘Kuondoka kwa Busungu kumeniumiza’

MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya Mgambo JKT inayoshiriki katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Fuluzulu Maganga, amesema kufifia kwa kiwango chake msimu huu kumetokana na kuondoka kwa pacha wake Malimi Busungu aliyejiunga na Yanga msimu huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani