Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAITI YAKOHOA, YAFUMBUA MACHO

Maajabu ya Bagamoyo! Katika hali ya kushtua, familia yenye makazi yake, Magomeni, Bagamoyo mkoani Pwani, imejikuta kwenye mauzauza baada ya ndugu yao kufariki dunia huku akidaiwa kukohoa, kufumbua macho na kuonesha dalili za kuwa hai, pamoja na kwamba daktari alithibitisha kifo. ....Soma zaid===>http://bit.ly/1HyLO9T

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Maonesho ya utalii ya Sanganai/Hlanganani—(World Tourism Expo) Zimbabwe yafumbua macho Watanzania

IMG_4145

Pichani juu na chini ni Afisa Habari Mwandamizi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Esther Solomon (kushoto) akitoa maelezo ya shughuli mbalimbali za utalii na vivutio vyake nchini Tanzania kwa baadhi ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali vikiwemo vya utalii nchini Zimbabwe waliofika katika banda la Tanzania kwenye maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Utalii Sanganai/Hlanganani–(World Tourism Expo) kupata taarifa mbalimbali za vivutio vya utalii wa Tanzania yaliyomalizika jana jijini Harare katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Madaktari wa Macho kutoka Shirika la Specsavers Watowa Huduma ya Macho kwa Wananchi Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar

Daktari wa Shirika la Spacsaver Ingrid Stenersen akimfanyia uchunguzi mmoja ya wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki waliofika Skuli ya Sekondari ya eneo hilo kupatiwa huduma ya macho.Daktari wa macho kutoka Shirika la Spacsaver Petter Daniesin akimfanyia vipimo mtoto Sabrina Abdalla Salum katika zoezi linalofanyika Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki.Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakiwa katika mistari wakisubiri huduma ya kupima macho inayotolewa kwa ushirikiano na madaktari kutoka...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtihani wa Macho

Unaweza kumtambua mtu kwa kuangalia macho yake pekee? Haya hapa ni macho ya watu 10 maarufu. Unaweza kuwatambua?

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Habarileo

Maiti yapigwa makofi

MAZIKO ya mtuhumiwa wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani hapa, Charles Kichune, yamesuswa na ndugu zake. Tangu Kichune afariki dunia Februari 9 kwa ugonjwa wa pumu katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime, hakuna ndugu aliyefika kuchukua mwili huo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Maiti yaokotwa Singida

DSC00179111

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu

Mwili wa mwanaume ambaye hajafahamika jina wala  makazi yake anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 28,umeokotwa maeneo ya Misuna makaburini tarafa ya Mungumaji Singida mjini.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP Geofrey Kamwela, amesema mwili huo umeokotwa Agosti 5 mwaka huu saa moja asubuhi ukiwa umetelekezwa kwenye makaburi ya Misuna.

Alisema mwanaume huyo siku ya tukio alikuwa amevaa shati la...

 

10 years ago

GPL

MAITI AZIKWA KIMAAJABU!

Katika hali isiyokuwa  ya kawaida na kushangaza, wananchi wa Mbezi Msakuzi Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, walisusa na kuondoka makaburini kwa kile kilichodaiwa kuwa maiti ya Michael Kisanto (pichani) waliyotarajia kuizika iliwekwa ndani ya  jeneza kimaajabu. Mazishi ya Michael Krisanto yakiendelea. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika Makaburi ya Makamba Msakuzi, Mbezi jijini Dar es Salaam ambapo wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani